|
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Sajuki wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu-Dar es Salaam adhuhuri ya leo. |
|
Mwili wa marehemu Sajuki ukipelekwa makaburini. |
King Kikii Mwana Fa na Profesa J.
Msanii Z Anto akiswali juu ya kaburi la Marehemu Sajuki.
Hapa ndipo alipozikwa Marehemu Sajuki.
sajuki
MWENYEZIMUNGU AMPE KAULI THABIT,,AMPE MAGHFIRA KATIKA MAISHA YA KABURI,,AJAALIE KABURI LAKE LIWE NYUMBA MIONGONI MWA NYUMBA ZA PEPONI....HAKIKA SISI NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA...
ReplyDeleteinna lilah wa inna ilahi rajiuni....dah inatia kinyaa kwamba hata wewe ustadh Shaffih hujui ni vipi kusali na nini kuomba duwa waislamu hawaswali makaburini hifadhi dini yako
ReplyDelete