Nadhani wakati umefika kaka viongozi na wasimamizi wa michezo nchini wabadilike! Hii dhana ya kuwa kiongozi ili upade chochote kitu sio nzuri na wasimamizi wa chaguzi hizi za viongozi pamoja na wapiga kura ndio wanaoboronga na kuweka viongozi wasiofaa na wasio na uwezo! Majungu na kujuana ni gonjwa zito katika chaguzi zetu za kuwpata iongozi wa michezo
Kwanza nakupongeza kama uligombea kwenye uchaguzi huo!natumaini kushindwa kwako si anguko kwako!! Napenda kukushauri kuwa naomba uache kuongelea habari za uchaguzi wa drfa ambao we mwenyewe ulishiriki!kwanini hukusema wakati unagombea??je kama ungeshinda haya yote yangetokea?? Me naomba dont take this by your side ila naamini ulikuwa mgombea ambae ulistahili kuwepo katika drfa ila ushakosa so just be quite na usubiri uchaguzi mwingine
hayo sio madudu ni utamaduni tu wa uchaguzi katika soka kuanzia FIFA, CAF etc etc nyinyi mnaita madudu kwa kuwa mlipata nafasi ya kumulika wenzenu na vicamera vyenu hamna lolote!
Ni vigumu kukwepa mitandao kwenye chaguzi kama hizi, na ieleweke kwamba soka la sasa limebebwa na nguvu ya fedha! kwa mtaji huu tutaendelea kupata viongozi wabovu na wanaodidimiza soka. otherwise, tuache viongozi wapya wafanye kazi na tuwahukumu kwa utendaji wao!
Nawapongeza kwa kazi kubwa na ngumu mliyoifanya,na kwa ujasiri mliouonesha hadi kukamilisha ripoti maalum na kuileta kwa wadau ili tuone namna gani wapuuzi wachache wasio jitambua wanavyo kuwa wabinafsi na kutojali maslahi ya Taifa..Kwa tulichiona ni dhahiri kabisa wapo madarakani kinyume na sheria cz uchaguzi haukufuata sheria,,ugumu wa hili unakuja pale ambapo suala hili linahusisha mtandao mkubwa ambapo unagusa hadi ndani ya shirikisho la mpira..Nawasihi msichoke kufichua uovu wowote ule kwa sababu naamini itafika wakati watu watachoka na watapatikana waadilifu wa kuweza kuongoza..Hakuna lenye mwanza lisilo na mwisho,na siku zote mwisho wa ubaya ni aibu,km tuliyoiona kwa walioinjinia hadi wakapata mtu waliye mtaka...MUNGU AWAONGOZE NA AWALINDE KTK KAZI YENU...
Huyu anaesema degree haitakiwi inatakiwa watu wa mpira mgetoa kabisa hiyo sehemu maana ndo hao wanaoturudisha nyuma! Jamani ELIMU ndo kila kitu! acheni fikra mgando oh watu wa mpira! nadhani ipo haja sasa kwa nafasi za mwenyekiti kuanzia wilaya mpaka taifa kigezo cha kwanza iwe ni FIRST DEGREE ! ALMASI anaweza sana tu apewe ushirikiano acheni MAJUNGU uchaguzi umekwisha sasa tuendeleze soka!
Nadhani wakati umefika kaka viongozi na wasimamizi wa michezo nchini wabadilike! Hii dhana ya kuwa kiongozi ili upade chochote kitu sio nzuri na wasimamizi wa chaguzi hizi za viongozi pamoja na wapiga kura ndio wanaoboronga na kuweka viongozi wasiofaa na wasio na uwezo! Majungu na kujuana ni gonjwa zito katika chaguzi zetu za kuwpata iongozi wa michezo
ReplyDeleteTo you DAUDA
ReplyDeleteKwanza nakupongeza kama uligombea kwenye uchaguzi huo!natumaini kushindwa kwako si anguko kwako!!
Napenda kukushauri kuwa naomba uache kuongelea habari za uchaguzi wa drfa ambao we mwenyewe ulishiriki!kwanini hukusema wakati unagombea??je kama ungeshinda haya yote yangetokea??
Me naomba dont take this by your side ila naamini ulikuwa mgombea ambae ulistahili kuwepo katika drfa ila ushakosa so just be quite na usubiri uchaguzi mwingine
aibu kubwa sana!
ReplyDeletehayo sio madudu ni utamaduni tu wa uchaguzi katika soka kuanzia FIFA, CAF etc etc nyinyi mnaita madudu kwa kuwa mlipata nafasi ya kumulika wenzenu na vicamera vyenu hamna lolote!
ReplyDeleteAcha ujinga a wewe unaita kazi za wenzio vicamera au babake alikuwa anagombea?
DeleteNi vigumu kukwepa mitandao kwenye chaguzi kama hizi, na ieleweke kwamba soka la sasa limebebwa na nguvu ya fedha! kwa mtaji huu tutaendelea kupata viongozi wabovu na wanaodidimiza soka. otherwise, tuache viongozi wapya wafanye kazi na tuwahukumu kwa utendaji wao!
ReplyDeletedah jamani huyu kasongo bogas kabisa eti anasema kazi ya yeye kuwa mwenyekiti imeenjiniwa na bakheresa,dah amewekwa na bakhresa jamani
ReplyDeleteNawapongeza kwa kazi kubwa na ngumu mliyoifanya,na kwa ujasiri mliouonesha hadi kukamilisha ripoti maalum na kuileta kwa wadau ili tuone namna gani wapuuzi wachache wasio jitambua wanavyo kuwa wabinafsi na kutojali maslahi ya Taifa..Kwa tulichiona ni dhahiri kabisa wapo madarakani kinyume na sheria cz uchaguzi haukufuata sheria,,ugumu wa hili unakuja pale ambapo suala hili linahusisha mtandao mkubwa ambapo unagusa hadi ndani ya shirikisho la mpira..Nawasihi msichoke kufichua uovu wowote ule kwa sababu naamini itafika wakati watu watachoka na watapatikana waadilifu wa kuweza kuongoza..Hakuna lenye mwanza lisilo na mwisho,na siku zote mwisho wa ubaya ni aibu,km tuliyoiona kwa walioinjinia hadi wakapata mtu waliye mtaka...MUNGU AWAONGOZE NA AWALINDE KTK KAZI YENU...
ReplyDeleteHuyu anaesema degree haitakiwi inatakiwa watu wa mpira mgetoa kabisa hiyo sehemu maana ndo hao wanaoturudisha nyuma! Jamani ELIMU ndo kila kitu! acheni fikra mgando oh watu wa mpira! nadhani ipo haja sasa kwa nafasi za mwenyekiti kuanzia wilaya mpaka taifa kigezo cha kwanza iwe ni FIRST DEGREE ! ALMASI anaweza sana tu apewe ushirikiano acheni MAJUNGU uchaguzi umekwisha sasa tuendeleze soka!
ReplyDeleteInashangaza kusikia watu wakidai sheria za football wakati wameamua kucheza rugby!
ReplyDelete