Search This Blog

Monday, November 12, 2012

SALUTE TO YOU GUYS KWA KUKUBALI MATOKEO!


Nassor Binslum (TECHINICAL DIRECTOR-Coastal Union )
Yanga aka sunche wamestahili ushindi.....
 
 
 
Edo Kumwembe ( Msemaji - Coastal Union  )
Yanga 2...sisi 0...matokeo halali...Yanga walikuwa bora kuliko sisi...well organised from defence to attack. Thanks God tumemaliza raundi ya kwanza nafasi ya nne...life goes on
 
 
Hakika leo tumeshindwa kihalali. Yanga wametufunga kwa kutumia mbinu nyingi sana. Kwanza walituvuruga kabla ya mpira kuanza. Na hata wakati mpira unachezwa wachezaji wao walijituma kupita kiasi wakibadili kila mbinu ili kupata upenyo wa kuonana na kipa wetu. Ila hawakufanya kitendo cha kiungwana kuanzisha vurugu ya mawe baada ya mchezo kuisha. Hata hivyo wachezaji wa coastal walijitahidi mpira uliwakataa tu leo.

3 comments:

  1. Sijui ni nani alieanzisha vurugu za mawe Bw. Hafidh ungetufafanulia kwenye Jamii forums tumeona bandiko kuwa wachezaji na viongozi wa yanga wametolewa kwa ulinzi mkali wa FFU kukwepa vurugu za wafuasi wa Coastal tulio mbali tunahitaji kujuwa ukweli kama wale jamaa wa kabuku walikuja mpaka mkwakwani au ni wafuasi wa kimanumanu... Tiririka mzee

    ReplyDelete
  2. Toa Ufafanuzi Bw. Hafidh ni nani alieanzisha vurugu hizi ni hawa jamaa wa jangwani au ni wenyaji Coastal maana katika bandiko moja huko Jamii forums inasemekana kuwa Wachezaji na viongozi wa Yanga Walitoka Uwanja wa Mkwakwani kwa Msaada wa FFU Isije kuwa ni Wale jamaa wa kabuku walirudi na Mawe yao mpaka huko au ni wana Kimanumanu Ila Huyu mtu anaiitwa Kavumbagu Dideir"Bonieck" ni Hatari Kama Ambani Vile

    ReplyDelete
  3. Salute eddo, bin slum ila u,ekosea ni yanga aka champions na sio sunche. maana kama wangekuwa azam ungesikia wachezaji wamechukua rushwa au ingekuwa simba ungesikia yule okwi na ngassa si yanga wale. jana nilickia interview ya aggrey morris inasikitisha hiyo creation ya rushwa iliyoyengenezwa na azam halafu wanasema eti mwenyewe aggrey alikiri wakati jana anaongea inaonesha hakukiri. naomba chama kinachotetea wafanyakazi kiingilie kati suala. mimi kwa aggrey naona kaonewa kama ile mechi na simba alicheza jihadi kwelikweli. azam pia wachunguzwe maana walichofanya na wasiwasi ni creative tu ya stori na sio skendo ya rushwa.

    ReplyDelete