Search This Blog

Monday, November 12, 2012

HATIMAYE LIONEL MESSI AVUNJA REKODI YA PELE - AFUNGA MABAO 76 NDANI YA MWAKA

Leo Messi, akiwa na miaka 25 tu, amefikia rekodi ambazo zimefikiwa na magwiji wa soka pekee. Jumapili ya jana, katika dimba la Iberostar, Muargentina huyo aliipita rekodi ya Pele ya kufunga mabao mengi zaidi ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Akifunga mbao mawili dhidi ya Mallorca.. Messi sasa amefunga magoli  76 ndani ya mwaka wa 2012. goli moja zaidi ya Pelel aliyefunga mabao 75 katika mwaka 1958.

Magoli 64 kwa Barça, 12 kwa Argentina

Mabao 48 ya Messi kati ya 76 ndani ya 2012 yalifungwa katika La Liga - 33 katika msimu huu na 15 msimu uliopita. 12 akaifungia Argentina.

Pelé, kwa upande mwingine alifunga mabao 58 katika mashindano ya Paulista, 8 katika mashindano ya  Rio-Sao Paulo, na mabao 9 aliifungia timu yake ya taifa - kati ya mabao yake hayo 9 ya timu ya taifa, sita kati ya hayo yalifungwa katika fainali za kombe la dunia 1958, na mengine aliyafunga katika mechi za kirafiki.

Málaga and Bayer Leverkusen

Japokuwa Atletico Madrid ndio watu waliojeruhiwa sana Messi, lakini mwaka 2012 timu ambazo zimeonja joto la balaa la Messi ni Malaga na Bayern Leverkusen ambao wote wameambulia kufungwa magoli 6 kila timu.


Real Mallorca 2 4 FC.Barcelona hoofoot... by hoofoot  

 

Messi's 76 goals in 2012

FC Barcelona (64 goals)
Liga (48 goals): Málaga (6), Rayo (4), Espanyol (4), Valencia (4), Real Sociedad (3), Granada (3), Getafe (3), Deportivo (3), Mallorca (3), Zaragoza (2), Levante (2), Osasuna (2), Real Madrid (2), Racing (2), Betis (2), Sevilla (1), Atlético Madrid (1) and Athletic Club (1)
Champions League (11 goals): Bayer Leverkusen (6), AC Milan (2), Spartak Moscow (2) and Celtic (1)
Cup (3 goals): Osasuna (2) and Athletic Club (1)
Spanish Super Cup (2 goals): Real Madrid (2)
Argentina (12 goals)
2014 World Cup qualifiers (5 goals): Uruguay (2), Chile (1), Ecuador (1) and Paraguay (1)
Friendlies (7 goals): Sweden (3), Brazil (3) and Germany (1)

No comments:

Post a Comment