Baadhi ya wanachama wa Simba leo hii wameandama mpaka kwenye makao makuu ya klabu hiyo wakiwa na mabango yaliyokuwa yakiwataka makamu mwenyekiti wa Simba Godfrey Kaburu na Nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja kuachia nafasi kwenye timu kwa madai ya kuihujumu timu na kupata matokeo mabaya. |
Hawa akina Kaseja na Minziro siwapendi kabisa Katika timu hizi,Brandts naye akae mkao wa kula kuondoka pale Jangwani kwani 'mwenye machungu" na yanga(MINZIRO)akichukia kwisha kazi.Mweta wewe kipa mzuri lakini Simba kuna profesheno golikipa(Kaseja)mpaka alazwe Muhimbili,lakini makosa madogo mazoezini,'atajirekebisha kwenye mechi bwana mpange tu'
ReplyDeleteKwanini washabiki wa soka la kibongo hatuna uvumilivu, angalia kwa wenzetu uvumilivu unawafikisha mbali sana, tuache kugeuza vilabu vyetu kama vijiwe. Tumempoteza Maximo kijinga sana,lkn km tungevumilia jamaa angetufikisha mbali leo hii. Pia ninyi waandishi na wachambuzi wa soka mnapandikiza ujinga sana kwa mashabiki wetu kwa kigezo cha biashara. Maximo mlimjadili so negative kikowapi leo. Badilikeni bwanaa.
ReplyDelete