Alhaji Shaaban Mintanga akiwa chini ya ulinzi mkali wakati wa kesi yake.
Rais wa zamani wa Shirikisho la
Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Alhaji Shaaban Mintanga, leo ameachiwa
huru baada ya kushinda kesi yake ya kukamtwa na madawa ya kulevya.
Mintanga ameachiwa huru baada ya kusota rumande tangu April 4 mwaka
2008. (Picha kwa hisani ya GPL)
No comments:
Post a Comment