JEZI YA GK JUMA KASEJA HAIKUTENGENEZWA NA ADIDAS KAMA ZA WENGINE.UHISPORT NDIO WALIOTENGENEZA.HIYO NDIO BONGO HAKUNA MTU ALIE MAKINI WANACHANGANYANA TU. WHO CARES.
Picha ya Kwanza wachezaji wote wamevaa jezi ya Adidas lakini picha ya pili wachezaji wa ndani wamevaa jezi ya adidas isipokuwa golikipa amevaa jezi ya Uhlsport. Nawasilisha.
Madrid ni wachezaji waupe sana wakati simba niwachezaji weusi sana.
Wachezaji wa timu ya Madrid msitari wa nyuma wamesimama msitari wa mbele wameinama na Wachezaji wa timu yangu ya Simba msitari wa nyuma wamesimaa tena na mokiono yao iko mgongoni hata wimbo wa Taifa hatusimami hivyo, msitari wa mbele wamechuchumaa kama wana pull
Inaonesha uhusika zaidi kwa madrid, wanafurahia kabisa na kazi yao, Maskini kamnyama kangu kama kanahuzuni sana, hakana furaha hata sura kama inataka kuzeeka kabisa jamani.
1. jezi za madrid zote zimetengenezwa na Adidas lakini jezi za simba wachezaji wa ndani zimetengenezwa na Adidas na ya kipa imetengenezwa na Uhlsport 2. jezi za madrid zote zinaonyesha logo (nembo) ya klabu yao lakini za simba zote hazina logo (nembo) ya klabu 3. wachezaji wa madrid wameshikana ili kuonyesha umoja na ushirikiano (spirit) ya kwenda kufanya kazi pamoja lakini simba wanaonyesha kila mtu anaenda kufanya anachofikiria yeye uwanjani.
Sura za wachezaji wa kibongo zimepooza,sio za kimchezo kabisa.
ReplyDeleteUtayari...Madrid seem like wake tayari kwa kazi iliyombele yao....
ReplyDeleteWana nguvu na ari ya kutosha then wako kazini.
Down:
Ilimradi.
Hawako tayari kwa kucheza mpira.
Pia hawako kazini wako kwa ajili ya 'kucheza not @ work' mpira na wapinzani
TOP: Jamaa wanaonyesha nia ya dhahiri wa kufanya kazi kwa pamoja na kwa ushirikiano (Team work)
ReplyDeleteDOWN: Kila mtu kivyake hapo. hawaonyeshi ushirikiano kama team.
JEZI YA GK JUMA KASEJA HAIKUTENGENEZWA NA ADIDAS KAMA ZA WENGINE.UHISPORT NDIO WALIOTENGENEZA.HIYO NDIO BONGO HAKUNA MTU ALIE MAKINI WANACHANGANYANA TU. WHO CARES.
ReplyDeleteOCD
Picha ya Kwanza wachezaji wote wamevaa jezi ya Adidas lakini picha ya pili wachezaji wa ndani wamevaa jezi ya adidas isipokuwa golikipa amevaa jezi ya Uhlsport. Nawasilisha.
ReplyDeleteMadrid ni wachezaji waupe sana wakati simba niwachezaji weusi sana.
ReplyDeleteWachezaji wa timu ya Madrid msitari wa nyuma wamesimama msitari wa mbele wameinama na Wachezaji wa timu yangu ya Simba msitari wa nyuma wamesimaa tena na mokiono yao iko mgongoni hata wimbo wa Taifa hatusimami hivyo, msitari wa mbele wamechuchumaa kama wana pull
Inaonesha uhusika zaidi kwa madrid, wanafurahia kabisa na kazi yao, Maskini kamnyama kangu kama kanahuzuni sana, hakana furaha hata sura kama inataka kuzeeka kabisa jamani.
1. jezi za madrid zote zimetengenezwa na Adidas lakini jezi za simba wachezaji wa ndani zimetengenezwa na Adidas na ya kipa imetengenezwa na Uhlsport
ReplyDelete2. jezi za madrid zote zinaonyesha logo (nembo) ya klabu yao lakini za simba zote hazina logo (nembo) ya klabu
3. wachezaji wa madrid wameshikana ili kuonyesha umoja na ushirikiano (spirit) ya kwenda kufanya kazi pamoja lakini simba wanaonyesha kila mtu anaenda kufanya anachofikiria yeye uwanjani.
kikubwa hapa ni kuwa jezi ya Simba haina LOGO YA SIMBA!
ReplyDelete