Sasa simba wanalia nini kanuni zinasema wazi mchezaji atakuwa huru kujiunga na klabu nyingine endapo mkataba wake utakuwa umeisha na ndivyo ilivyokuwa kwa Yondani kwa maana hiyo alikuwa huru kujiunga na Yanga so sioni logic ya viongozi waongo wa simba kuendelea kubwabwaje na kutapatapa mara tunajitoa mara mahakamani wajipange upya kuangalia jinsi gani ya kubakisha kombe lao na si vinginevyo
Iko wazi sana na rahisi kabisa, kuna tatizo moja ambalo wa_Tanzania wengi wanalo " how to read between line" na hii inatokana na msingi mbovu wa elimu kuanzia huko chini. Mfano mzuri ni kesi ya Yondani watu wamebishana sana lakini kanuni iko wazi na rahisi, but some how its tricky kwa sababu hata Simba walifikiri wako sahihi kumbe wapi! "they have to read between line"
Tatizo: Sisi wanasheria pia tuna dhima ya kuelimisha wadau(wachezaji na viongozi) wa soka hata baadhi ya Acts hasa hizi za Contarct(mikataba)
Ushauri: ni vizuri watu wakajibidiisha katika kusoma na kuongeza uelewa wa mambo mbali mbali kuepusha malumbano yasiyo na msingi
Kesi ya Simba inatakiwa iwe kwanini Yondan Amesaini mikataba miwili na sio wapi akacheze, aadhibiwe kwa kusaini mikataba miwili kwa timu mbili tofauti, sio upo halali, huu ni utapeli. Elhind
Muulize m/kiti wako rage anajua kila kitu alichokifanya anakufanya wewe boya tu hapa unatoka povu!! Yondani hana mikataba 2 iliyosajiliwa tff ni mmoja tu wa yanga huo mwingine rage aliweka nyumbani kwake baada ya kusikia yanga wamemsajili ndiyo akakurupuka nao kwenda nao tff...aaagh mnakela sana nyinyi simba mnavyoburuzwa na viongozi wenu hata huyu shafii naye kajaa ushabiki tu wakati issue anaijue
mi sioni haja ya simba kuanza kuangaika na yondani kwa mda mrefu hvo!,mchezaji mwenyewe kashaonesha jeuri kanogewa na masilahi,mcezaji mwenyewe wa kawaida tu,mnampa kiburi ajione yeye ni dhahabu, hadi mnatishia kuondoa timu kwenye ligi,mara kwenda mahakamani!, sababu ya yondani!!! dah inatosha, hata kama yanga walikosea,au kamati ilikosea, au mchezaji ndo alikosea!, ifkie mahala mkubali yaishe muangalie mipango yenu ya kutetea ligi na michezo mingine ya kitaifa, kwani wachezaji mnao wazuri tu tena pengine zaidi ya huyo yondani. najua inauma sana kuchukuliwa mchezaji wenu kinyamera,
kitu ambacho mimi naweza kuwashauri ninyi simba na yanga,kama mnaona inareata kero kuuziana wachezaji,muwekeane maelewano ya kutouziana wachezaji!,kidogo inaweza kupunguza hii mitafaruku. Simba fan.
Hivi mwanzoni imeanza vipi,hicho kipengele namba tatu kanuni ya 44,Na kimetenguliwa wapi ndani ya hiyo sehemu Mnaweza mkafilia mnaelewa kumbe hamuelewi?Barua lazima iandikwe no matter inamajibu gani lkn lazima iandikwe mlimuandikia nani sasa kuhusu swala la Kelvin Yondani?
Hivi kuna kipengele cha kwenye ibara za TFF inayozungumzia, ni muda gani mchezaji anaweza kuwa huru kuongea au kutoongeza mkataba na club? Au vipengele vipo vya kulinda club tuh? Tunajua ulaya kuna vipengele vya mchezaji akiwa amebakiza miezi sita ya mkataba wake anaweza anza ongea na kufanya mkataba na vilabu vingine...tumeona wachezaji wengi wameondoka toka kwa timu zao bure kabisa. Nazani tatizo la simba na yondani sio jipya, nakumbuka mwaka jana mwenyekiti alikuwa anatoa maneno mabaya tuh mbele ya waandishi wa habari...nazani pale ndio matatizo yalipoanza....
Mleta mada unaijua issue vizuri, lakini unataka kuwajaza watu hasira tu hapa. Mkataba wa simba na Yondani ni batili ( ni kama haupo)... Kwa Twite iko wazi kwamba ana mkataba na FC Lupopo....
Sasa simba wanalia nini kanuni zinasema wazi mchezaji atakuwa huru kujiunga na klabu nyingine endapo mkataba wake utakuwa umeisha na ndivyo ilivyokuwa kwa Yondani kwa maana hiyo alikuwa huru kujiunga na Yanga so sioni logic ya viongozi waongo wa simba kuendelea kubwabwaje na kutapatapa mara tunajitoa mara mahakamani wajipange upya kuangalia jinsi gani ya kubakisha kombe lao na si vinginevyo
ReplyDeleteIko wazi sana na rahisi kabisa, kuna tatizo moja ambalo wa_Tanzania wengi wanalo " how to read between line" na hii inatokana na msingi mbovu wa elimu kuanzia huko chini. Mfano mzuri ni kesi ya Yondani watu wamebishana sana lakini kanuni iko wazi na rahisi, but some how its tricky kwa sababu hata Simba walifikiri wako sahihi kumbe wapi! "they have to read between line"
ReplyDeleteTatizo:
Sisi wanasheria pia tuna dhima ya kuelimisha wadau(wachezaji na viongozi) wa soka hata baadhi ya Acts hasa hizi za Contarct(mikataba)
Ushauri:
ni vizuri watu wakajibidiisha katika kusoma na kuongeza uelewa wa mambo mbali mbali kuepusha malumbano yasiyo na msingi
Kesi ya Simba inatakiwa iwe kwanini Yondan Amesaini mikataba miwili na sio wapi akacheze, aadhibiwe kwa kusaini mikataba miwili kwa timu mbili tofauti, sio upo halali, huu ni utapeli. Elhind
ReplyDeleteMuulize m/kiti wako rage anajua kila kitu alichokifanya anakufanya wewe boya tu hapa unatoka povu!! Yondani hana mikataba 2 iliyosajiliwa tff ni mmoja tu wa yanga huo mwingine rage aliweka nyumbani kwake baada ya kusikia yanga wamemsajili ndiyo akakurupuka nao kwenda nao tff...aaagh mnakela sana nyinyi simba mnavyoburuzwa na viongozi wenu hata huyu shafii naye kajaa ushabiki tu wakati issue anaijue
Deletemi sioni haja ya simba kuanza kuangaika na yondani kwa mda mrefu hvo!,mchezaji mwenyewe kashaonesha jeuri kanogewa na masilahi,mcezaji mwenyewe wa kawaida tu,mnampa kiburi ajione yeye ni dhahabu, hadi mnatishia kuondoa timu kwenye ligi,mara kwenda mahakamani!, sababu ya yondani!!! dah inatosha, hata kama yanga walikosea,au kamati ilikosea, au mchezaji ndo alikosea!, ifkie mahala mkubali yaishe muangalie mipango yenu ya kutetea ligi na michezo mingine ya kitaifa, kwani wachezaji mnao wazuri tu tena pengine zaidi ya huyo yondani.
ReplyDeletenajua inauma sana kuchukuliwa mchezaji wenu kinyamera,
kitu ambacho mimi naweza kuwashauri ninyi simba na yanga,kama mnaona inareata kero kuuziana wachezaji,muwekeane maelewano ya kutouziana wachezaji!,kidogo inaweza kupunguza hii mitafaruku.
Simba fan.
Hivi mwanzoni imeanza vipi,hicho kipengele namba tatu kanuni ya 44,Na kimetenguliwa wapi ndani ya hiyo sehemu Mnaweza mkafilia mnaelewa kumbe hamuelewi?Barua lazima iandikwe no matter inamajibu gani lkn lazima iandikwe mlimuandikia nani sasa kuhusu swala la Kelvin Yondani?
ReplyDeleteHivi kuna kipengele cha kwenye ibara za TFF inayozungumzia, ni muda gani mchezaji anaweza kuwa huru kuongea au kutoongeza mkataba na club? Au vipengele vipo vya kulinda club tuh? Tunajua ulaya kuna vipengele vya mchezaji akiwa amebakiza miezi sita ya mkataba wake anaweza anza ongea na kufanya mkataba na vilabu vingine...tumeona wachezaji wengi wameondoka toka kwa timu zao bure kabisa. Nazani tatizo la simba na yondani sio jipya, nakumbuka mwaka jana mwenyekiti alikuwa anatoa maneno mabaya tuh mbele ya waandishi wa habari...nazani pale ndio matatizo yalipoanza....
ReplyDeleteMleta mada unaijua issue vizuri, lakini unataka kuwajaza watu hasira tu hapa. Mkataba wa simba na Yondani ni batili ( ni kama haupo)... Kwa Twite iko wazi kwamba ana mkataba na FC Lupopo....
ReplyDelete