CHEMSHA BONGO! TAJA MAJINA YA NGULI HAWA WA SOKA LA BONGO.
HAWA NI WANASOKA WA ZAMANI WA TANZANIA AMBAO MAJINA YA UBINI WAO YANAFANANA! MMOJA NI MSHAMBULIAJI WAZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA NA MWINGINE NI GOLIKIPA WA ZAMANI WA PAMBA YA MWANZA.
Ally Mchumila na Zikiri Mchumila,Ally ni mwalimu hivi sasa wa soka mkoani Mara na Zikiri ni askari polisi mkoa wa Mara,Nyongeza ni kwamba yupo pia mdogo wao anaitwa Yasin Mchumila alikuwa golikipa mzuri aliyekuwa akifuata nyayo za Zikiri,nafasi iliyompatia kazi ya polisi pia,Na hapa walikuwa katika mazishi makaburi ya Musoma Bus,Busagaga.
Ebwanaee Edward Chumili na Zikiri Chumila.
ReplyDeleteJuma Mhina na Peter Mhina
ReplyDeleteAlly Mchumila na Zikiri Mchumila,Ally ni mwalimu hivi sasa wa soka mkoani Mara na Zikiri ni askari polisi mkoa wa Mara,Nyongeza ni kwamba yupo pia mdogo wao anaitwa Yasin Mchumila alikuwa golikipa mzuri aliyekuwa akifuata nyayo za Zikiri,nafasi iliyompatia kazi ya polisi pia,Na hapa walikuwa katika mazishi makaburi ya Musoma Bus,Busagaga.
ReplyDeleteali mchumila na dhikiri chumila
ReplyDeleteHao ni Ali mchumila na Dhikili Mchumila watoto wa Musoma. Namkumbuka Ali kwa mikwaju yake mikali na Dhikili kwa usadi wake golini!
ReplyDelete