Mshambuliaji hatari wa timu ya Simba "Zamoyoni Mogella 'golden boy'" akijiandaa kumtoka beti wa Yanga "Salum Kabunda 'ninja'" huku Issa Athumani akijiandaa kutoa msaada, katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa uhuru "shamba la bibi", Simba ilimaliza mchezo huo kwa ushindi wa bao 2-1.
Mshambuliaji hatari wa timu ya Simba "Zamoyoni Mogella 'golden boy'" akijiandaa kumtoka beti wa Yanga Athuman Juma chama 'Jogoo'" huku Muhidin Cheupe akijiandaa kutoa msaada,
Mshambuliaji hatari wa timu ya Simba, Zamoyoni Mogella (kulia) akijaribu kumtoka mlinzi wa timu ya Yanga, Yusufu Ismail Bana (Kushoto). Katikati anaonekana kiungo mkabaji wa Yanga, Isihaka Hassan "Chuku" akiwa tayari kutoa msaada. Hii ni moja ya mipambano ya kukumbukwa ya wapinzani wa jadi Simba na Yanga.
mi nnachoweza kusema kipindi hicho mtu akiitwa mchezaji basi ni mchezaji kweli we siunaona washua walivyo funga misuli, sio leo hii ligi ya bongo mchezaji mwenye misuli eti sunzu ambaye haingii kwa hawa jamaa hatana mara 2
hao wengine ndo wanapepesuka pepesuka tu, sa hapa kuna mchezaji unaweza kumfananisha na uhuru selemani au solomon msuva hapo, hapo majembe matupu bana
Mshambuliaji hatari wa timu ya Simba "Zamoyoni Mogella 'golden boy'" akijiandaa kumtoka beti wa Yanga "Salum Kabunda 'ninja'" huku Issa Athumani akijiandaa kutoa msaada, katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa uhuru "shamba la bibi", Simba ilimaliza mchezo huo kwa ushindi wa bao 2-1.
ReplyDeleteMshambuliaji hatari wa timu ya Simba "Zamoyoni Mogella 'golden boy'" akijiandaa kumtoka beti wa Yanga Athuman Juma chama 'Jogoo'" huku Muhidin Cheupe akijiandaa kutoa msaada,
ReplyDeleteMshambuliaji hatari wa timu ya Simba, Zamoyoni Mogella (kulia) akijaribu kumtoka mlinzi wa timu ya Yanga, Yusufu Ismail Bana (Kushoto). Katikati anaonekana kiungo mkabaji wa Yanga, Isihaka Hassan "Chuku" akiwa tayari kutoa msaada. Hii ni moja ya mipambano ya kukumbukwa ya wapinzani wa jadi Simba na Yanga.
ReplyDeletemi nnachoweza kusema kipindi hicho mtu akiitwa mchezaji basi ni mchezaji kweli we siunaona washua walivyo funga misuli,
ReplyDeletesio leo hii ligi ya bongo mchezaji mwenye misuli eti sunzu ambaye haingii kwa hawa jamaa hatana mara 2
hao wengine ndo wanapepesuka pepesuka tu, sa hapa kuna mchezaji unaweza kumfananisha na uhuru selemani au solomon msuva hapo, hapo majembe matupu bana