Search This Blog

Monday, August 6, 2012

WASHABIKI WA SIMBA NAOMBA MNITAJIE JINA LA HUYU MTU ALIYE NA RAGE


15 comments:

  1. huyu ni mbuyi twite mkubwa!

    ReplyDelete
  2. huyo ni mbuyi twite

    ReplyDelete
  3. mbuyi twiteeee....bao lingine la kisigino hiloo

    ReplyDelete
  4. Huyo ni mbuyi twite

    ReplyDelete
  5. pacha mbuyi twite, cmba wanajitahidi washukuru kombe la kagame limeonyesha udhaifu wao. kombe la kuku(urafiki) lili wa danganya

    ReplyDelete
  6. shafii kuna kitu nashindwa kukielewa maana jana ktk mkutano wa simba rage alichangisha wanachama 1ooo kwa mtu ili waweze kulipia deni la kupata kiwanja,sasa kiwanja tu mnashindwa kumalizia deni hapo hapo mnaenda(mnajidai) kuwa mmemsajiri mrisho ngasa kwa 30M naa redondo kwa 30M pia na mishahara ya m2 je hzo zinatokea wapi mwisho wa siku migogoro inatawala mfano mtu asipolipwa chake kwa wakati,waambie viongoz wawe wabunifu c ubunifu wa uongo kwa sifa za kijinga!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeambiwa utaje jina la mtu aliye na Rage hapo, hayo mengine ya nini?? Sisi waswahili bwana. Ukiambiwa una chuki na Rage au na Simba utakataa? Unapiga ramli tu kuhusu migogoro lakini huna ufahamu itaanzia wapi. Unajua fedha za usajili zinatoka wapi?? zinatoka mifukoni mwa watu kama ilivyo hizo za kiwanja. Watu kama kina Hans pope, kina Kaburu ndo wanagharamia usajili kwa mapenzi yao na simba na ndo hao hao wanachangishwa za kiwanja. Mwenye mapenzi na timu atatoa. Ulitaka waseme nini sasa ili wasionekane wanajidai, Labda Kaburu kamsajili Ngasa kwa Mil 30? au Rage kamsajili Twite kwa dola 30,000? Yapi kati ya hayo ni kujidai? Mbona Yanga kuna kina Bin Kleb wagharamia usajili kwa fedha za mifukoni, kina manji wamejenga jengo kwa fedha zao za mifukoni mwao na wanasema ni Yanga wamesajili, au ni jengo la Yanga. Nakubaliana na wewe jambo moja tu kuwa wawe wabunifu. Lakini hata kuchangisha wanachama unaona sio ubunifu?? Ulitaka wamchangishe nani sasa?

      Delete
  7. Jamani huyu ni Kabange Twite.. Tumeingizwa mjiniiiiii...

    ReplyDelete
  8. huyo ni mbuyu twite aise shaffi we mnazi wa simba kweli!!

    ReplyDelete
  9. Tuonyesheni picha anayosaini mikataba viongozi wetu ili mioyo yetu iwe na amani

    ReplyDelete
  10. BWANA SHAFIIH SI UTUAMBIE TU KUWA NI NANI, BADALA YA KUTUFANYA WENGINE KUWA WAPIGA RAMLI. WENGINE RAMLI SIYO FANI YETU

    ReplyDelete