Timu ya taifa ya soka ya Tanzania - Taifa Stars usiku wa kuamkia leo imesafiri kuelekea jijini Gbarone Botswana kwa ajili ya kucheza mchezo wa kujipima nguvu na timu ya nchi hiyo. |
Nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja akiingia uwanja wa ndege tayari kwa safari ya kuelekea Botswana |
Watoto wa Msimbazi hao, Haruna Moshi Boban na Ramadhan Chombo wakiwa na mabegi tayari kuiacha ardhi ya Tanzania na kwenda Botswana kutetea bendera ya nchi yao. |
Mrisho Khalfan Ngassa nae akielekea ndani ya uwanja tayari kwenda kupanda pipa na kwenda Gabarone |
Aggrey Morris wa Azam FC NDANI YA UZI WA TAIFA LAKE TAYARI KUKWEA PIPA |
Kaka siku h-[p;l.98iizi umeshindwa kuzuia hisia zako ktk timu ya Simba, wengine ni wapemzi wa blog yako unatukatisha tamaa, jaribu kuwa kama mwanahabari usie egemea ktk timu yoyote.
ReplyDeleteukikua utaacha shaffii sikujua kuwa upeo wako wa kufikiri upo baina ya miwani yako na macho yako sasa kutuuwekea picha halaf unatuambia wa simba sjui wa azam mana yake nini kwani nan hajui hilo wewe andika wachezaji wa tm ya taifa wakiellekea botwsana siyp SOMBA SJUI AZAM ACHA UJINGA
ReplyDeletewe anonymous wa pili acha matusi kuna matatizo gani kutaja klabu mtu anatoka au ungetaka kumwona mchezaji wa yanga. sio kila mtu anajua mchezaji flani yupo klabu flani so nisahihi shaffih we endelea kutuhabarisha tunathamini mchango wako
ReplyDelete