Search This Blog

Thursday, August 23, 2012

TAFAKARI! KUNA UTOFAUTI GANI KATIKA PICHA HIZI.





7 comments:

  1. WaTZ wanatambulishwa na viongoz huku wa mbele makocha wanachukua hlo jukumu

    ReplyDelete
  2. Soka la bongo longo longo, limejaa siasa sana. swala la kununua wachezaji wanafanya viongozi wa timu badala ya makocha ambao ndio hasa wataalamu wa soka. Imefika mahali, TFF na wadau wasoka tukatae ujinga huu wa kuburuzwa na pesa pasipo mipango thabiti. Tena nasikia dada za kununua wachezaji zinazotolewa na hao viongozi wanakuja kujilipa kwa kutumia mapato ya mlangoni...Shame on TFF...Jim DSm

    ReplyDelete
  3. wachezaji wa nje wanasajiliwa na makocha bt in tz wachezaji wanasajiliwa na viongozi wa timu

    ReplyDelete
  4. Kocha humtambulisha mchezaji aliyemkubali na kumsajili (Hiyo ni kwa Ulaya).....Hapa kwetu ni kwamba Kiongozi humsajili mchezaji aliyempenda na kumtambulisha mchezaji huyo bila ridhaa ya kocha (Hiyo ni Bongo).

    ReplyDelete
  5. Pia wenzetu wanatumia fursa hiyo kutangaza biashara pia, wakati sisi hatujaitumia vizuri nafasi ya vilabu vyetu kwenye nnyanja hiyo

    ReplyDelete
  6. M MUGISHA WA KINONDONI, MAKOCHA WANAWASAJII WACHEZAJI SABABU ANAJUA ANAMAPUNGUFU ENEO GANI? WALA SI VIONGOZI, KAZI YA VIONGOZI NI KUSHAURI TU, TAALUMA INAINGILIWA NA SIASA HAPA BONGO, TUIGE WENZETU WA ULAYA INAKUWAJE? KUSIKIA HATUSIKIA HATA PICHA HATUONI NCDY

    ReplyDelete
  7. Hivi inamaana kweli matajiri wa simba na yanga ni wajinga kiasi kwamba hawayaoni haya tunayoyaona! unajua ada ya mtoto wa kaburu kusoma ni millioni 15 kwa mwaka!na anao wawili! kweli atakuwa wa ajabu kiasi hiki? hapana! kuna faida baadhi ya watu wanaipata kwa soka letu kuendeshwa kisakala! na soka letu likiendeshwa kisasa wataingia hasara sana! ndio maana vizee vya simba na yanga havitakaa vipotee maana vipo kwa maslahi ya soka la kisakala!

    ReplyDelete