Search This Blog

Thursday, August 23, 2012

MJADALA: GOLI LA TORRES - JE HII ILIKUWA OFFSIDE???


4 comments:

  1. Kwa kuangalia hiyo still picture unaeza sema ni offside, ila motion picture inaonyesha kuwa ni best goal, coz alitoka nyuma ya mtu

    ReplyDelete
  2. SHAFIH, TORES AMEOTEA KABISA, MANAKE UKIMWANGALIA MWILI MZIMA UMEINGIA NDANI WKT MPIRA HAUJATOKA MGUUNI KWA MPIGA KROSS, KWA UELEWA WANGU ASINGE KUWA AMEOTEA KAMA ANGEKUWA PALE WKT MPIRA UMESHAPIGWA. BUT ALL IN ALL HATUWEZI KUPINGA KUWA NA WAAMUZI NI BINA DAMU NA WKT MWINGINE MAMBO KAMA HAYA HUONGEZA RADHA YA MPIRA, NDO MAANA HATA KTK KARATA ZA LAST CARD MKICHEZA WENGI ZINANOGA SABABU WENGINE UCHEZA RAFU KWA KUFICHA KARATA NA VITU VINGINE. AM OUT. VICTOR NDAMGOBA. SHABIKI WA KWELI WA ARSENAL YA CAZORLA

    ReplyDelete
  3. kaka motion picture uliyo angalia wewe ni ipi?cole wakati anatoa pasi tayari torres alikuwa kwenye offside position hata hiyo picha inaonyesha mpira bado upo miguuni kwa cole na torres yupo mbele ya mabeki

    ReplyDelete
  4. Kinachonifurahisha kwenye blog hii ni unazi wa Man U. Mara nyingi hukuti mabovu ya United humu. Humu ni kusifiwa na kuanika mafanikio yake. Mfano ni mechi ya jumatatu. Hakijazungumzwa chochote kwenye blog hii na hata kwenye sport extra hakukuwa na mjadala kama timu nyingine zinapofungwa.

    Tuwe fair jamani.

    ReplyDelete