Why dont he be happy anyway? Hiyo ndo ofisi yake jamani, sasa km ukipata kazi ktk kampuni mpya na bado huna furaha kwa nini usibaki kampuni ya zamani?The move is right and it is benefiting both sides: VanP and Arsenal kwani Arsenal wamepata pesa na yeye mshahara mkubwa na mkataba wa muda mrefu pia. WIsh him all the best ila akija Emirates awe na adabu tu kwani soon ataibuka striker mwingine na atapachika mabao tu. Km Adebayo nae alikuwa kinara baada ya kuondoka Thiery basi ht Giroud anaweza kushine na kuwafanya watu wamsahau RVP haraka.
hii blog inaboa sana nowdays, utadhani ni blog ya man u. kunavilabu vingi sana kwenye ligi maarufu ulaya. Najua Shafii ni Man u lkn tupe raha na wapenzi watimu nyingine. Ushauri tu..........
it seems he is very happy with the new club..!
ReplyDeleteDROGBA ALISHASOMA ALAMA ZA NYAKATI MAPEMA DATS Y AKAKIMBILIA CHINA MAN NDO MSIMU WAKE WA MAAJABU HUU
ReplyDeletehaya bhana ngoja apotee kwanza huko ndo ataikumbuka gunners
ReplyDeleteWhy dont he be happy anyway? Hiyo ndo ofisi yake jamani, sasa km ukipata kazi ktk kampuni mpya na bado huna furaha kwa nini usibaki kampuni ya zamani?The move is right and it is benefiting both sides: VanP and Arsenal kwani Arsenal wamepata pesa na yeye mshahara mkubwa na mkataba wa muda mrefu pia. WIsh him all the best ila akija Emirates awe na adabu tu kwani soon ataibuka striker mwingine na atapachika mabao tu. Km Adebayo nae alikuwa kinara baada ya kuondoka Thiery basi ht Giroud anaweza kushine na kuwafanya watu wamsahau RVP haraka.
ReplyDeleteWelcome home RVP
ReplyDelete250k pounds kwa wiki, hata mi ningechekelea na kukenua kila sekunde...
ReplyDeletethts the place u wea meant to be 8 yrs back,,its ws a matter of hw soon u supoz to realiz..bt not ur problem madawa ya wenger yalikufunga macho n mind
ReplyDeletejamaaa yupo kazini hapo ila jamaa daima yu Arsenal...karibu man utd
ReplyDeleteIF DONT HAVE ABILITY TO FIGHT THEM YOU BETTER JOIN THEM.ALL THE BEST HAKUNAGA AKA RVP ITS YOUR TIME NOW MAKE IT UP
ReplyDeletehii blog inaboa sana nowdays, utadhani ni blog ya man u. kunavilabu vingi sana kwenye ligi maarufu ulaya. Najua Shafii ni Man u lkn tupe raha na wapenzi watimu nyingine. Ushauri tu..........
ReplyDeleteHE'S SURE WITH HIS SELECTION KEEP IT UP VANPIRE YOU MADE A GOOD CHOICE...
ReplyDelete