Wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba wakitembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. |
Wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba wakitembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. |
Mshambuliaji hatari wa Simba, Mrisho Ngassa akisalimia wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) |
Kocha Mkuu wa Simba, Profesa Milovan Cirkovic akitoa neon la shukrani baada ya wachezaji na viongozi wa klabu ya Simba kutembelea kiwanda cha TBL kilichopo Arusha |
Wechezaji wa klabu ya Simba wakiwa katika picha ya pamoja na viongozii wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kilichopo Arusha |
No comments:
Post a Comment