Search This Blog

Monday, August 20, 2012

MBWANA SAMATA NI NOOMA, AWATANDIKA TENA WAARABU - TP MAZEMBE WAKIITOA ZAMALEK KWENYE CHAMPIONS LEAGUE

6 comments:

  1. www.transfermarkt.co.uk/en/mbwana-samatta/leistungsdaten/spieler_182201.html shaffih cheq stats hizo... mmepe samata mpira wa kichwa atafunga tuu

    ReplyDelete
  2. Kijana namkubali sana na magoli ya Vichwa ndio kazi yake! Ila Mazembe wawe wanamruhusu kulitumikia taifa lake!

    ReplyDelete
  3. cant wait 2see da golden boy mbwana samatta rule in da EPL..Kila day nkitinga net all i wonna see z any information abt da golden boy na gazeti lisilokuwa na any newz concernin da golden boy wallahi cwezi kanunua aisee..cmon boy kip it up en make your corrupt country proud..all da best de fantastic mysterious TZ golden striker ever ally samatta....ellon nicko

    ReplyDelete
  4. Dogo yuko vizuri Shafih, unajua kuna blog moja ya ubelgiji niliona wamejaribu kumlinganisha na Daniel Suridge wa Chelsea Samatta akaonekana Statistics zake zote ziko juu, kuanzia dribling, pass za mwisho, runs per game na magoli alifanya vizuri. namwona mbali sana baadae akiendelea hivi

    ReplyDelete
  5. unajua dogo ni mzuri zaidi ya Sturidge wa chelsea? fatilia takwimu zake kaka.

    ReplyDelete