Angalau umepumua,maana sisi yanga ni wazee wa ndoo kubwa kubwa.Pole shaffih achana na unazi fanya kazi.kombe la mbuzi picha kibao.Bingwa wa kagame mhhhhhhhhhhhhh
Simba na hasa Rage na Kaburu mmejifunza nini???. Hebu Simba fuatilieni, hii timu imetoka wapi??. Hivi Rage na Kaburu, maamuzi yenu ni sahihi. Rage na Kaburu, leo mmetoka hadharani meno nje mmefurahi, lakini mmejifunza nini?? Kumbukeni ubinafsi wenu unawakatisha tamaa sana wadau wenu. mmnataka mfano gani tena????
Angalau umepumua,maana sisi yanga ni wazee wa ndoo kubwa kubwa.Pole shaffih achana na unazi fanya kazi.kombe la mbuzi picha kibao.Bingwa wa kagame mhhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteSimba na hasa Rage na Kaburu mmejifunza nini???. Hebu Simba fuatilieni, hii timu imetoka wapi??. Hivi Rage na Kaburu, maamuzi yenu ni sahihi. Rage na Kaburu, leo mmetoka hadharani meno nje mmefurahi, lakini mmejifunza nini?? Kumbukeni ubinafsi wenu unawakatisha tamaa sana wadau wenu. mmnataka mfano gani tena????
ReplyDelete