nakubaliana na ww ndugu,ila kama analysis umekosea kidogo kusema kama yanga walitakiwa kushinda goli 15 kama mpira sio kitu cha kutaja idadi ya magoli angalieni sana ndugu zangu kuhusu mpira.nikurekebishana kwena makosa hayo ndio maendeleo ya timu zetu za simba na yanga na tuache ushabiki mpira sio ushabiki mpira ss ni biashara

ReplyDeleteUchambuzi wako unaweza kuwa mzuri. lakini sisi hatukupendi wewe na ushauri wako na kama tungeweza basi tungelifunga hili blogu lako.
ReplyDelete