DK 75: Nizar Khalfan anapiga mkwaju wa saba hapa. DK 50: Mwasika anatoka anaingia Idrissa Rashid
DK 48: Chuji anapiga shuti kali na linagonga mlingoti na kutoka nje.
DK 45: Juma Seif Kijiko anaingia kuchukua nafasi ya Kelvin Yondan ambaye imeonekana amepata maumivu baada ya kufanyiwa rafu mbaya kipindi cha kwanza. Pia anatoka Nizar Khalfan na Rashid Gumbo.
P
Ridhawani Kikwete akiwa makini kuangalia klabu yake ikifanya mauaji |
Mwenyekiti aliyepita wa Yanga Lloyd Nchunga |
Mpira ni mapumziko na hapa jukwaani nawaona baadhi ya wanachama maarufu wa klabu ya Yanga waliokuja kuisapoti timu yao
Kick Off: Yanga 0 - 0 Waw Salaam
DK. 2: Yanga wanapata kona na wanashindwa kuitumia.
DK. 5: Hamis Kiiza anakosa goli la wazi.
DK 10: Yanga wanapoteza nafasi nyingi sana mpaka wakiwa wanalishambulia lango la Wasudan kama nyuki.
DK 13: Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaal Said Bahanuzi anaifungia Yanga goli la kuongoza.
DK 17: Said Bahanuzi anapiga bao la pili hapa uwanja wa taifa.
DK 19: Hamis Kiiza hatimaye anaipatia Yanga goli la 3.
DK 23: Yanga 3 - 0 Waw Wasalaam
DK 25: Stephano Mwasika anaipatia Yanga bao la nne
DK 30 :Hamis Kiiza anafunga bao la tano.
DK 35: Hamis Kiiza anaifungia Yanga goli la 6 na la tatu kwa upande wake. Hat-trick.
DK 40: Yanga 6 - 0
DK 46: Mapumziko - Yanga 6 - 0
MWENYEKITI WA YANGA YUSUPH MANJI AKIWA UWANJANI
upo umuhimu wa kuangalia viwango vya timu za kuleta nchini sasa! naona CECAFA iliwapanga yanga na hawa vibonde ili kuwajengea yanga njia ya kupita maan naona kiwango chao ni kidogo sana
ReplyDeleteKwahiyo cecafa wameibeba yanga vp APR nao walipofunga goli 7 nao walibebwa?kwann haukupinga wakati ratiba inapangwa?acha unazi wa kitoto,vita nayo imebebwa?
Deletewabongo bana.....ingefungwa yanga hapa hawa jamaa wangeonekana wanajua sana.......ebu tuwe wanamichezo kidogo......madrid ashawai kumtandika barca goal tano,barca ashawai kumtandika madrid goal tano,simba ashawai kumtandika goal sita yanga,na juzi juzi tu hapa tulishuudia yanga akipigwa tena tano na simba.......mbona hatukuilaumu TFF...????WAMEZIDIWA MCHEZO NDO MAANA UNAONA VIBONDE.siku zote timu inapozidiwa mchezo kila sector huonekana vibonde....tunajudge tu bila kunyamua ni mapungufu yapi yamepelekea timu hiyo kuzidiwa kimchezo......man u alizidiwa kimchezo akapigwa sita na man city......nawakilisha
ReplyDelete