Shaffih Dauda nikiwa na baadhi ya wachezaji wa TSC Mwanza tukipata msosi. Hapa ilikuwa ni saa tatu usiku ya Ujerumani. Kwa wale wanaojua baadhi ya nchi za ulaya jua huwa linachelewa kuzama. |
Wadau wakipata maakuli kwenye hafla hiyo waliyoandaliwa vijana wa TSC |
Misosi |
Huyu ndio alikuwa mpishi |
Maakuli hayoooo - kwangu ilikuwa ndio futari. |
Mmoja wa makocha wa TSC akipata msosi |
Frank Sekule akigonga menu |
No comments:
Post a Comment