Search This Blog

Wednesday, July 18, 2012

TIMU YA KITUO CHA KULELEA WATOTO WA MITAANI CHA MWANZA TSC KIPO NCHINI UJERUMANI KWENYE ZIARA

Timu ya kituo cha kukuza vipaji vya vya soka vya watoto wa mitaani cha jijini Mwanza, TSC Academy kipo nchini Ujerumani kwenye ziara ya kimichezo. Timu hiyo iliondoka Bongo na kikosi cha wachezaji 20 pamoja na mwalimu wao. Kikiwa huko chini Ujerumani timu ya chuo hicho imekuwa ikifanya mazoezi na timu za huko pamoja na kucheza mechi mbalimbali ili kuweza kuimarisha viwango vyao. Leo hii timu hiyo imecheza mechi na SPVGG Greuther Fürth U19 inayoshirki ligi ya bundesiliga ya vijana na kutoka sare tasa.

Mechi ya leo dhidi ya SPVGG Greuther Fürth U19 (


Kocha wa TSC Mwanza

Mwalimu akiwapa risala wanafunzi wake.



Benchi la ufundi la timu ya TSC Mwanza kwenye mechi ya leo.


1 comment:

  1. kocha Wa kiswahili anaitwa ROGASIAN KAIJAGE klama unamkumbuka ni kati yamakocha wachache saana hapa tanzania waliosoma na wanavyeti wa ukocha na kuna fununu kuwa sunday kayuni alichakachukua akatumia vyeti vyake kupandia mgongoni mwake walivyokuwa wanafundisha Kagera Stars,pia alikuwa na timu ya serenget one times kama sikosei

    ReplyDelete