kuna wkt tunatakiwe tuwe wakweli na tusiwe kwa ajil ya maslahi ya club fulani... km kweli ukiwa kiongozi wa soka hautakiwi uwe upande mmoja et club fulani ndio club yako hiyo ni kualibu kanuni za soka na kwa mwenendo huo soka la tanzania litakuwa hadimu kukua.... its me slasher kwanja jr from fc boom ilala
tunatakiwa tufike mahali tuwe wakweli tuache unazi hautakiwi uwe kiongozi wa chama cha mpira alafu uonyeshe mahaba na club unayoshabikia hiyo kitu ktk soka hakitakiwi.... its me slasher kwanja jr from Fc boom ilala
Mimi simlaumu Anjitile na fiatu fyake japo tunamjua Kama ni Yanga, hii ni mipango ya Tenga tu maana toka mwanzo hakuonyesha ushirikiano wowote kwa Simba na yeye hakuna asiemjua Kama ni Yanga wa kutupwa na siku lie tulipowapiga 5 hakulala , wewe Rais wa Tff sio rais wa Yanga wacha mambo ya Kiswahili endesha Tff kisomi , Yondani katoroshwa kambini usiku na Yanga ulichukua gani????
Rais wa tff yanga,katibu wa tff yanga sport director kayuni yanga raisi wa nchi na mwanae lizi 1 yanga unategemea simba na timu nyingine zitakuwa na nafac yyt tena katika maendeleo,
Hivi nyie Simba,mbona kumbukumbu zenu fupi?? Mnakumbuka suala la chuji? Kaseja je? Mkurugenzi pale TFF aliiba mkataba, Lakini leo tujiulize, hivi mwenye maamuzi pale simba kwamba mchezaji fulani tunamtaka ni nani??? Hivi mikataba ya wachezaji wetu ipo sawa na nani anahusika???? pana tatizo pale simba, viongozi wetu wana matatizo makubwa ya kiuendeshaji na kiutendaji. Huwezi kuiendesha Simba vile unavyopenda wewe. hakuna kamati yoyote pale Simba inayofanya kazi yake. kwa kweli maamuzi Simba ni ya mtu mmoja tu. na haya ndiyo matokeo yake. mengi yalijificha kwa sababu simba ilifanya vizuri kiajabu tu. lakini ndani ya Simba kuna uozo mkubwa sana. hili la Yondani ni Dogo sana. Jamani Nyoka huanza kutafutwa mguuni mwako sio kwa mwenzako!!!!!!
Hawa watu(mashabiki wa Simba) mimi wananishangaza sana,wao wamekalia kumlaumu Angetile tu badala ya kuwalaumu Viongozi wao kwa kuzembea kutengeneza makubaliano ambayo yangemtenga Vidic na vishawishi vya Club nyingine mathalani Yanga ambayo tayari walishaonyesha kumtaka tokea kipindi kile Viongozi wao wamegombana naye na kusabbisha arudi kwao Mwanza,kuna mambo mengi sana ambayo sina uhakika kama Mashabiki wa Simba wakiongozwa na kinara wao wa kulishikia bango hili jambo (Brother Shaffih) wanayafahamu,laba niwaulize hivi mnajua kuwa kabla Yondani hajawa'approach Yanga kuwaambia sasa amemaliza mkaaba wake na Simba alishawaambia mara kadhaa viongozi wa iliyokuwa Club yake ya Simba wakae mezani kushughulikia mustakabari wa mkataba wake mpya na Club hiyo na wasitekeleze hilo matokeo yake wakawa wanampiga Calendar kila siku? sasa mnatoka mapovu ya nini kumuona akikipiga Jangwani?
Sipendi matumizi ya lugha mbaya, ila nakubaliana nawe. lakini mwenye tatizo hili ni Kaburu. Kaburu yeye anaamini ni Genious hivyo hafanyi maamuzi na wala hashirikiani na wenzake.Hili litaigharimu sana simba. ila aaangalie, wapenzi wa mpira hukushangilia sana unapofanya vizuri. Nchunga alipewa kila sifa nzuri lakini mwishowe matokeo mabaya na kila mtu aliona. Hii ndiyo kanuni ya mpira. Simba msipoangalia mtalipa gharama kama ilivyowatokea Yanga. Njia ya mwongo fupi sana.
Tatizo la watu wa Simba ni hilo,si viongozi si mashabiki,hawana upeo wakuelewa,wao wanapenda kuropoka sana,mikwara mingi lakini hakuna kitu cha maana wanachokifanya,waliona mkataba wa Yondani umeisha,wakajifanya sitaki nataka,baada ya kuona Yanga wamemnasa,wanajifanya kuchakachua mkataba wa Yondani,daaaa hii nayo kali. Haya mwambieni mwenyekiti wa Simba wa kujitegemea Dauda, awasaidie na sheria zake za kujitegemea! Masudya (DOM)
kuna wkt tunatakiwe tuwe wakweli na tusiwe kwa ajil ya maslahi ya club fulani... km kweli ukiwa kiongozi wa soka hautakiwi uwe upande mmoja et club fulani ndio club yako hiyo ni kualibu kanuni za soka na kwa mwenendo huo soka la tanzania litakuwa hadimu kukua.... its me slasher kwanja jr from fc boom ilala
ReplyDeletetunatakiwa tufike mahali tuwe wakweli tuache unazi hautakiwi uwe kiongozi wa chama cha mpira alafu uonyeshe mahaba na club unayoshabikia hiyo kitu ktk soka hakitakiwi.... its me slasher kwanja jr from Fc boom ilala
ReplyDeleteMimi simlaumu Anjitile na fiatu fyake japo tunamjua Kama ni Yanga, hii ni mipango ya Tenga tu maana toka mwanzo hakuonyesha ushirikiano wowote kwa Simba na yeye hakuna asiemjua Kama ni Yanga wa kutupwa na siku lie tulipowapiga 5 hakulala , wewe Rais wa Tff sio rais wa Yanga wacha mambo ya Kiswahili endesha Tff kisomi , Yondani katoroshwa kambini usiku na Yanga ulichukua gani????
ReplyDeleteRais wa tff yanga,katibu wa tff yanga sport director kayuni yanga raisi wa nchi na mwanae lizi 1 yanga unategemea simba na timu nyingine zitakuwa na nafac yyt tena katika maendeleo,
ReplyDeleteHivi nyie Simba,mbona kumbukumbu zenu fupi?? Mnakumbuka suala la chuji? Kaseja je? Mkurugenzi pale TFF aliiba mkataba, Lakini leo tujiulize, hivi mwenye maamuzi pale simba kwamba mchezaji fulani tunamtaka ni nani??? Hivi mikataba ya wachezaji wetu ipo sawa na nani anahusika???? pana tatizo pale simba, viongozi wetu wana matatizo makubwa ya kiuendeshaji na kiutendaji. Huwezi kuiendesha Simba vile unavyopenda wewe. hakuna kamati yoyote pale Simba inayofanya kazi yake. kwa kweli maamuzi Simba ni ya mtu mmoja tu. na haya ndiyo matokeo yake. mengi yalijificha kwa sababu simba ilifanya vizuri kiajabu tu. lakini ndani ya Simba kuna uozo mkubwa sana. hili la Yondani ni Dogo sana. Jamani Nyoka huanza kutafutwa mguuni mwako sio kwa mwenzako!!!!!!
ReplyDeleteHawa watu(mashabiki wa Simba) mimi wananishangaza sana,wao wamekalia kumlaumu Angetile tu badala ya kuwalaumu Viongozi wao kwa kuzembea kutengeneza makubaliano ambayo yangemtenga Vidic na vishawishi vya Club nyingine mathalani Yanga ambayo tayari walishaonyesha kumtaka tokea kipindi kile Viongozi wao wamegombana naye na kusabbisha arudi kwao Mwanza,kuna mambo mengi sana ambayo sina uhakika kama Mashabiki wa Simba wakiongozwa na kinara wao wa kulishikia bango hili jambo (Brother Shaffih) wanayafahamu,laba niwaulize hivi mnajua kuwa kabla Yondani hajawa'approach Yanga kuwaambia sasa amemaliza mkaaba wake na Simba alishawaambia mara kadhaa viongozi wa iliyokuwa Club yake ya Simba wakae mezani kushughulikia mustakabari wa mkataba wake mpya na Club hiyo na wasitekeleze hilo matokeo yake wakawa wanampiga Calendar kila siku? sasa mnatoka mapovu ya nini kumuona akikipiga Jangwani?
ReplyDeleteSipendi matumizi ya lugha mbaya, ila nakubaliana nawe. lakini mwenye tatizo hili ni Kaburu. Kaburu yeye anaamini ni Genious hivyo hafanyi maamuzi na wala hashirikiani na wenzake.Hili litaigharimu sana simba. ila aaangalie, wapenzi wa mpira hukushangilia sana unapofanya vizuri. Nchunga alipewa kila sifa nzuri lakini mwishowe matokeo mabaya na kila mtu aliona. Hii ndiyo kanuni ya mpira. Simba msipoangalia mtalipa gharama kama ilivyowatokea Yanga. Njia ya mwongo fupi sana.
DeleteTatizo la watu wa Simba ni hilo,si viongozi si mashabiki,hawana upeo wakuelewa,wao wanapenda kuropoka sana,mikwara mingi lakini hakuna kitu cha maana wanachokifanya,waliona mkataba wa Yondani umeisha,wakajifanya sitaki nataka,baada ya kuona Yanga wamemnasa,wanajifanya kuchakachua mkataba wa Yondani,daaaa hii nayo kali.
ReplyDeleteHaya mwambieni mwenyekiti wa Simba wa kujitegemea Dauda, awasaidie na sheria zake za kujitegemea!
Masudya (DOM)