Sorry Bro...if I may ask,hv hiyo TSC haina wachezaji wengine waliochangia katika mafanikio yake ni wa Simba B tu? Naona hii blog sasa itageuka ya TSC na safari ya Ujerumani
HY, unaweza ukafauru sana test darasani ukazani hadi UE utafauru badilika kama kijana wa kisasa panapo hitaji msaada sapoti na siyo kubeza kila wanachofanya wenzako bt ni mtazamu tu.
Wewe na miwani yako kama Doctor wa wadudu mbona hii blog unaishapulia sana kila anachotoa Shaffih unaponda kwa sababu Shaffih ni Simba basi asiandike chochote kizuri kuhusu SImba? Elewa kuwa Shaffih ni binanaadamu wa kawaIda kama ulivyo wewe , ana haki ya kushabikia timu yoyote na kuisifu atakavyo , Kama ulivyo wewe Yanga hata ikifanya vibaya namna gani au hata ishuke daraja utaendelea kuisapoti tu Sasa wewe kitu kidogo Mara ooh hii blog imekuwa ya SImba Mara utasikia Shaffih omba kazi ya usemaji SImba Wewe hujalazimishwa kuingia kwenye hii blog , blog za michezo ziko kibao, Kama wewe hunywi pombe unaingia bar kutafuta nini Kama sio kutafuta ugomvi na walevi??? Uwe mstaarabu
Sorry Bro...if I may ask,hv hiyo TSC haina wachezaji wengine waliochangia katika mafanikio yake ni wa Simba B tu?
ReplyDeleteNaona hii blog sasa itageuka ya TSC na safari ya Ujerumani
HY, unaweza ukafauru sana test darasani ukazani hadi UE utafauru badilika kama kijana wa kisasa panapo hitaji msaada sapoti na siyo kubeza kila wanachofanya wenzako bt ni mtazamu tu.
DeleteWewe na miwani yako kama Doctor wa wadudu mbona hii blog unaishapulia sana kila anachotoa Shaffih unaponda kwa sababu Shaffih ni Simba basi asiandike chochote kizuri kuhusu SImba?
ReplyDeleteElewa kuwa Shaffih ni binanaadamu wa kawaIda kama ulivyo wewe , ana haki ya kushabikia timu yoyote na kuisifu atakavyo , Kama ulivyo wewe Yanga hata ikifanya vibaya namna gani au hata ishuke daraja utaendelea kuisapoti tu
Sasa wewe kitu kidogo Mara ooh hii blog imekuwa ya SImba Mara utasikia Shaffih omba kazi ya usemaji SImba
Wewe hujalazimishwa kuingia kwenye hii blog , blog za michezo ziko kibao, Kama wewe hunywi pombe unaingia bar kutafuta nini Kama sio kutafuta ugomvi na walevi??? Uwe mstaarabu