Search This Blog

Monday, July 9, 2012

HUU NDIYO MKATABA WA FRANCIS CHEKA.

6 comments:

  1. Sasa hapa tatizo lilikuwa wapi mpaka pambano likahairishwa?

    ReplyDelete
  2. Huo mkataba kwa tarakimu unasema 8M,kwa maneno ni 7M

    ReplyDelete
  3. Hivi lini Watanzania tutajua sheria, kuna makosa madogodogo hapo, mfano hamna flancis ila kuna francis hilo moja ambalo mhusika anaweza kuanza nalo kwenye utetezi wake, pia kwenye sheria hakuna jmpili haimaanishi chochote kile au milion nane iliyofutwa ikalazimishwa kuwa saba na sehemu ya sahihi ikarukwa na kwenda kusaini kwenye sehemu ya dole gumba.
    Kama cheka atapata mshauri au mwanasheria mzuri anaweza kuwa na neno la kujitetea.

    ReplyDelete
  4. Mkataba gani huu! Nashukuru kwa mdogo wangu Cheka kwa kufanya upuuzi wa kugoma maana amenifungua macho!hauna mashahid, haujalipiwa stamp duty! Nahisi Cheka kadhulumiwa sana kwa mikataba ya aina hii huu ndio mwisho wa dhulma zidi yake next time wataenda kusaini mbele ya mwana sheria! Sanasana promota atanuna tu akikupeleka mahakamani njoo nitafute poti! Wanachetuzea MOROGORO hawa!!!!

    ReplyDelete
  5. dis is buuuuulshit kudadadadadadeki kiswanglish mpaka katika mikataba!!!eti mkataba wa promoter na bondia halafu ndani unaandika boxer hii aibu yaaani kama mimi ningekuwa KAIKI ningewacha pesa ipoteee kuliko aibu hiii!!!11hahahahahahahah et JMPILI duuuh e bwana nitacheka sana usiku huuu mchana niko busy sana jamani!!!god bless me!!1

    ReplyDelete
  6. daaah...hapo ngugu yangu hamna mkataba n ujaujanja 2,hiyo sain hipo kwenye dole gumba lugha zimechanganywa humo ndani,yani ilimrad n fujo 2pu..nadhan ss n muda wa wadau kuwa makin na haya mambo km 2nataka 2songembele!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete