hapa chini ni sehemu ya mkataba wa beki huyo na klabu ya Yanga yenye maskani yake mitaa ya Twiga na Jangwani.
Wakati huo huo Simba Sc imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili beki wake wa kati Kelvin Patrick Yondani, mkataba huo mpya ulisainiwa tangia mnamo 23/12/2011 ikiwa ni maboresho ya mkataba wa awali uliokua unafika kikomo mwishoni mwa mwezi uliopita yaani 31/05/2012. Yondani mwenye umri wa miaka 27 pia ni beki wa kimataifa wa Tanzania.
Kelvin Patrick Yondani
|
Baadhi ya michezo ambayo Kelvin Patrick Yondani ameichezea timu ya Taifa ya Tanzania.
Tarehe | Nyumbani | matokeo | Ugenini | ||
---|---|---|---|---|---|
2012-06-02 | Côte d'Ivoire |
2 - 0
| Tanzania | ||
2012-05-26 | Tanzania |
0 - 0
| Malawi | ||
2012-02-23 | Tanzania |
0 - 0
| Congo DR | ||
2011-11-15 | Tanzania |
0 - 1
| Chad | ||
2011-11-11 | Chad |
1 - 2
| Tanzania | ||
2010-06-07 | Tanzania |
1 - 5
| Brazil | ||
2010-01-04 | Tanzania |
0 - 1
| Côte d'Ivoire |
Sasa huyu Yondani aliesajiliwa na Yanga ni yupi tena uyu?
ReplyDeleteYondani ni kinda wa miaka 17,kweli?
ReplyDeleteNimesikiliza uyo Kelvin wa simba kupitia capital radio, anasema ametia saini klabu ya yanga na wakati anaenda kutia saini alikuwa na kaka yake. Sasa ukimsiliza Rage wa simba na Sendeu wa yanga unaona kabisa siasa imeingia kwenye mpira na unaweza kuchanganyikiwa
ReplyDeletehawa jamaa wanatuchanganya tumechoka na siasa za mpira wa bongo
ReplyDeletemwacheni aende zake ameonyesha hana mapenzi na simba ndiyo maana alikuwa akihusishwa hujuma kapotea njia mbadala wake atafutwe na yanga lazima washitakiwe ili wawe fundisho kwa vilabu visivyo fuata taratibu za usajili.aliondoka sammata sembuse yondani yupo kapombe na mgusa wataonyesha kazi.
ReplyDelete