Mchezaji Kelvin Yondani akisaini mkataba wa usajili mbele ya kiongozi wa Yanga Seif Ahmed usiku huu, katika picha hii Yondani anaonekana akiwa amevaa fulana na timu ya taifa ambazo zimeanza kutumika mwezi mmoja uliopita baada ya stars kuingia mkataba na TBL KUPITIAKilimanjaro.
Taarifa nilizozipata hivi punde Yondani amefuatwa kwenye kambi ya timu ya Taifa iliyopo kwenye Hotel ya Tansoma jijini Dar Es Salaam. |
all di best Yondan...
ReplyDeletekaka shaffih uko makini sana,sasa ye mwenyewe yondani anakataa nn??si akubali kaliacha chama letu kwa maslahi tu.....soka ndo maisha yake so ataeleweka tu asiogope!!
ReplyDeleteMPIRA PESA BANA,DOGO AWE NA AMAN TU AENDE AKAPIGE KAZ JANGWAN MAMBO YA KUCHEZA KWA HISTORIA HAMNA SIKU HIZI.SAFI SANA YONDANI"VIDIC"
ReplyDeleteHaina haja ya kufichaficha mkataba wake umeisha anaeza kuichezea tim yoyote
ReplyDeleteKumbe wote Simba na Yanga walikuwa wanaongea tu bila uhakika..Thanks bro, sasa imeshajulikana rasmi ni mwana jangwani..Mpira pesa bana!
ReplyDeletekwa kuvungisha magoli huyu, Yanga mtamtema tu baada ya kombe la Challenge
ReplyDeleteKumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kwa huo mzigo hata mimi namwaga wino fasta, soka bongo limeanza kulipa kumbe.
ReplyDeleteViongozi wa simba nawaomba waheshimu maamuzi kwa Yondan wala wasimwekee mizengwe wakubali wamepigwa bao na maisha yaendelee.Kila la kheri Yondan.
Mdau
Mike
mi nahisi bdo anamapenzi na msimbazi. pia anaogopa mashabiki wa simba. mpira pesa bwana
ReplyDeleteyondani kama mtoto wa kike wewe ungekuwa dem kwa tamaa yako ungekuwa una watoto 50,kwani simba ushakula hela zao ngapi?acha tamaa utaikumbuka tu simba msaliti mkubwa we,umeikuta simba na itaendelea kuwepo,i hate you forever yondani
ReplyDeleteHuna haja ya kumchukia kaka anatafuta maisha kesho na kesho kutwa akifulia washabiki hamtakuwa karibu kumsaidia kumbukeni anatumia nguvu zake na siku zote kazi zinazotumia nguvu ni lazima akili kumkichwa.
DeleteI
Mimi nausubiri utamu siku wakikutana na simba sipati picha fujo lake taifa na kelele zake ila kama kuna kipindi atakuwa kwenye majaribu basi ndio hicho akicheza yale maboko yake ya kujifanya msuli umebana unalala wakati mwanaune Okwi yuko kwenye 18 ajua mashabiki wa yanga wataenda kumchomea nyumba, kibongo bongo hakuna kukosea ukikosea tu umeuza mechi.
Ila bado nakuunga mkono kaka kamata pesa mbona kaseja alikula hela na leo yuko msimbazi anatumika tena ni nahodha na wewe wakati ukifika mwanawane utarudi nyumbani.
Mdau
Mike
Simba sio baba'ke wala mama'ke, kijana anasaka hela kama unaipenda sana simba nenda kacheze ww sio kumtolea maneno ya ajabu ajabu!
DeleteMi nahisi amepotea njia... Ameamua kuacha mbachao kwa msala upitao... angejifunza kwa Chuji, au hata Kaseja... Kwanza Yanga haipo kwenye mashindano ya kimataifa... Siku hizi ukitaka mafanikio ni Simba... Ona Mbwana, na Ochan, wameonekana kupitia Simba, na Okwi yuko mbioni... Ila namtakia heri kwenye Klabu yake mpya
ReplyDeleteDah!..pesa bana!..aya kila la kheri jembe letu tulikupenda hapa simba.
ReplyDeleteMkufunzjr.
Kwa mujibu wa mkataba walioingia Yanga, Yondani amezaliwa 1994 kwa hiyo ana miaka 18. Yondani wa Simba ana umri wa miaka 27 kwa hiyo hawa ni watu wawili tofauti mbele ya sheria.
ReplyDeletekama kadanganya umri hiyo sio shida ya yanga ni tatizo lake mwenyewe yanga wameingia mkataba na mtu na sio umri..kwa hali hiyo hujui unachokiongea..mwenye kujua detail zake ni yondan mwenyewe so kama amesema anamiaka 18 hiyo shauri yake
ReplyDeletedaaaaah karibu jembeeeeeeeee angalia pesa kakaaa usije kuwa kama wale wa enzi zileee mpira wa sifa mifukoni hamna kitu hata ulaya hakuna mapenzi wanaangalia mshikooooo karibu sana ushirikiane nadir canavaro uhakikaaaaaaaaa balaaaa katikati chuji nizar haruna hakuna wa kutusumbua huku uongozi chini ya moize katumbi wa bongo MANJIIIIIII
ReplyDeleteMpira wa siku hizi pesa,saffi sana Kijana wamekumwagia mpunga umemwaga wino kwenye form shida nini?
ReplyDeleteSi ndo hawa waliokuwa hawakuthamini kipindi kile hadi ukapiga zako bunda Mwanza,mpk walipokubembeleza ndo ukarudi sasa wanachongachonga nini?
Achana nao.
KAZI IPO , DOGO KALA MPUNGA HARAFU ANASEMA HAJASAINI MAMBO YA KIZAMANI HAYO.
ReplyDeleteHATA AKIBAKI SIMBA HATUTA MWAMINI TENA NA ATASUGUA BENCH MPAKA AKOME
we kailanga mshirikina tu huna lolote mshipa wa babako
ReplyDeleteHaki yake msimtukane.
ReplyDeleteMTU AKIFARIKI HUWA TUNASEMA "SISI TULIMPENDA LKN MUNGU AMEMPENDA ZAIDI" NI SAWA TU NA KWA YONDANI KWAMBA "SIMBA TULIMPENDA LKN YANGA WAMEMPENDA ZAIDI" HII INAMAANISHA KWAMBA KISOKA HUKO ANAKOELEKEA YONDANI TUNKWENDA KUMFUKIA..
ReplyDeleteMmesahau kitu wadau, Yondani bado ana mkataba na Simba na kama Yanga wanamtaka inabidi wakae chini na Simba na wakubali ofa ambayo Simba itatoa. Simba wajanja wamemsainisha tangu 23 December 2011. YANGA imekula kwao na tabia hii wamezoea, sasa ona Sheria huo ushahidi wa picha walioutoa ndio wameharibu kabisaaaaaaaa...mijezi imewaumbua
ReplyDeleteSheria ya TFF aipo wazi kwa vilabu vya Tanzania? Vp Kelvin kusaini Simba na Yanga??????
ReplyDeletekama vipi simba tunamsajili mudy simba
ReplyDeletenjaa mbaya sana! yondani kisheria ni mchezaji halali wa simba ambae ameongeza mkataba wa miaka 2 trh 23 mwez desemba mwaka jana na tena mbaya zaidi mkataba utaisha mwezi desemba mwaka 2014. shaffih pliiiz nipe muongozo wa FIFA, FAT na TFF ili tuache soka la kizamani.
ReplyDeleteTFF wanadai Yondani ni mchezaji huru kwa kuwa mkataba wake uliopo TFF umeisha may 31 na ili mkataba utambulike lzm TFF waupitishe inaelekea Simba walimuongozea kwa danganya toto tu hawakuupeleka TFF hivyo mklataba na Simba ni feki
ReplyDelete