Michuano ya Euro 2012 sasa imefika hatua ya nusu fainali, miongoni mwa wachezaji wa timu hizo nne zilizofika hatua ya nusu fainali kuna jumla ya wachezaji 11 wanaochezea klabu ya Real Madrid hivi sasa au waliwahi kuichezea klabu hiyo hapo awali.
na hiki ndicho kikosi cha Real Madrid kinachoundwa na wachezaji kutoka mataifa ya Hisapania,Ujerumani,Italia na Ureno
MFUMO:
4:2:1:2:1
Arbeloa,Coentrao,Ramos,Albiol
Pepe &Xabi Alonzo
-Both kuwa-cover the back four
Special Duty ya Alonzo ku-dictate team pia.
Khedira
-Supporting Pepe & Alonzo wakati wa kukaba pia kuwa kama daraja la mipira kwenda mbele wanaposhambulia.
Ozil & Ronaldo
Ozil akitokea pembeni kulia , Ronaldo- akitokea pembeni kushoto
Negdredo
as a lone Striker
GOLIKIPA: IKER CASILLAS- NAHODHA ( HISPANIA )
BEKI WA KULIA: ALVARO ARBELOA ( HISPANIA )
BEKI WA KUSHOTO: FABIO COENTRAO ( URENO )
BEKI WA KATI : RAUL ALBIOL ( HISPANIA )
KIUNGO MKABAJI : PEPE ( URENO )
KIUNGO MSHAMBULIAJI : SAMMY KHEDIRA-KULIA ( UJERUMANI )
KIUNGO MSHAMBULIAJI : MEZUT OZIL-KUSHOTO ( UJERUMANI )
KIUNGO MKABAJI : XABI ALONZO ( HISPANIA )
BEKI WA KATI : SERGIO RAMOS ( HISPANIA )
MSHAMBULIAJI: ALVARO NEGREDO ( HISPANIA )
MSHAMBULIA: CRISTIANO RONALDO ( URENO )
sawa shafi hilo lakweeli kk umefikiria!. ima mtui iringa
ReplyDeleteHii inaonyesha ni namna gani wachezaji hawa walivyojuu kwa sasa,na mimi sioni ajabu kwa mchezaji anayefundishwa na Mourinho kutokuwa juu kiuchezaji,unajua kuna spirit anawapandikiza wachezaji ya kuthamini na kujua malengo yao pamoja na kujua umuhimu wa kuyafikia malengo yao,na si hivyo tu bali mbinu za kuweza kuyafikia malengo yao.
ReplyDeleteMourinho anachukua muda mrefu kuzungumza nao na kuwajenga kisaikolojia,makocha wetu wengi wanang'ang'ana na mazoezi tu.Sikatai wachezaji wasifanye mazoezi lakini saikolojia ya mchezaji ni kitu cha kucheza nacho sana kuliko physical fitness.Mourinho ameweza.Nani anaikumbuka Inter Milan na Fc Porto na hata Chelsea.
Hata mimi ningekuwa kocha wa timu yoyote ya taifa na nina mchezaji ninamuona yuko chini ya Mourinho lazima nimchukue kwanza.Vicente Del Bosque kazi inakuwa rahisi,sasa jumlisha na wachezaji wa Barcelona ndani kwa nini Spain wasitetee kombe lao
Ni hayo tu,Watanzania tujifunze kutoka kwa wenzetu.
Abraham J Mcharo
DUCE.
Duu 'All whites wanatisha'
ReplyDelete