Search This Blog

Monday, June 25, 2012

CHEMSHA BONGO! HIKI NI KIKOSI CHA TIMU GANI ? TAJA WALAU MAJINA 3 YA WACHEZAJI KWENYE KIKOSI HIKI.

3 comments:

  1. yebo kids ya mwaka 72

    ReplyDelete
  2. Waliosimama wa tatu kutoka kushoto ni Mkweche anamfuatia Mohamed "Tostao" anafuatia Kassim manara na wa mwisho kulia ni Pondamali "Mensah"

    Waliochuchumaa wa kwanza ni said "Mmanga" wa nne ni Adolf wa sita Gordian na anayemfuatia ni Jafari.

    Ni hao kwa wepesi niliowakumbuka

    ReplyDelete
  3. Ni Young Kids
    Standing third from left Mkweche, Tostao,Manara Kassim

    Seating fist from left Said Mmanga, forth Adolf next Ramadhani followed Gordian and Jafari.

    its a long time I remember team like a Simba Kids, Taifa Kids, Mnyera and etc.

    ReplyDelete