jamani Viongozi wa simba hebu mwacheni huyu kijana atafute maisha ili baadae akiacha soka aishi maisha mazuri.kwani simunajua wanaachana na soka mapema,na wengi wanakuwa hawana muelekeo.Na hii inasababishwa na viongozi wa vilabu vya soka letu.
mfumo wa simba huwa hawamzuii mchezaji kuondoka lakini taratibu zifuatwe usabiki isivuke mipaka na mi mbwa kuweni waelewa simba hawajamzuia yondani kuandoka na ukiangalia mpaka sasa simba wanafanya usajili hawamzungumzii yondani kwani simba ilishagundua kwamba beki yetu ni mbovu inaruhusu sana magoli ndiomana tunasajili mabeki wa kati wawili musa na msombo sasa nafasi ya yondani ikowapi na pili wachezaji wetu wa kitanzania hawana malengo kwa staili ya yondani manake hana malengo ya kucheza nje maana hizi timu ukishaanza kutangatanga ndani ya hizi timu basi wewe utakua wa hapahapa yanga haishiriki michuano ya kimataifa ataonekana wapi
jamani Viongozi wa simba hebu mwacheni huyu kijana atafute maisha ili baadae akiacha soka aishi maisha mazuri.kwani simunajua wanaachana na soka mapema,na wengi wanakuwa hawana muelekeo.Na hii inasababishwa na viongozi wa vilabu vya soka letu.
ReplyDeletemfumo wa simba huwa hawamzuii mchezaji kuondoka lakini taratibu zifuatwe usabiki isivuke mipaka na mi mbwa kuweni waelewa simba hawajamzuia yondani kuandoka na ukiangalia mpaka sasa simba wanafanya usajili hawamzungumzii yondani kwani simba ilishagundua kwamba beki yetu ni mbovu inaruhusu sana magoli ndiomana tunasajili mabeki wa kati wawili musa na msombo sasa nafasi ya yondani ikowapi na pili wachezaji wetu wa kitanzania hawana malengo kwa staili ya yondani manake hana malengo ya kucheza nje maana hizi timu ukishaanza kutangatanga ndani ya hizi timu basi wewe utakua wa hapahapa yanga haishiriki michuano ya kimataifa ataonekana wapi
ReplyDelete