Search This Blog

Thursday, June 21, 2012

KUTOKA KUMLEA AKIWA MDOGO MPAKA KUCHEZA NAE TIMU MOJA - HISTORIA YA RYAN GIGGS NA DANNY WELBECK

Picha ya kwanza juu inamuonyesha Ryan  Giggs  akiwa anaongea na Danny Welbeck kwenye mazoezi ya Academy ya Manchester miaka 10 iliyopita, na hii ya chini inawaonyesha wawili hawa wakiwa wanashangilia kwa pamoja goli kwenye kikosi cha Manchester United msimu uliopita.

Giggs is the legend!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment