Rahim Zamunda akiwa na mmiliki wa klabu ya Portsmouth Suleiman Al-Fahim |
Kwa mujibu wa mmiliki wa klabu hiyo Rahim Zamunda amesema kwamba wamefikia uamuzi huo ili kuweza kuisuka upya vizuri timu yao itakayoweza kupambana vizuri na mashindano yajayo.
"Huu ni uamuzi tuliofikia ili kuweza kuleta mabadiliko chanya kwenye timu yetu, na kwa sasa tupo kwenye mazungumzo ya mchezaji wa zamani wa Simba, Selemen Matola ili aweze kuwa bosi wa benchi letu la ufundi. Mpaka sasa tumefikia pazuri na lolote linaweza kutokea,"
Huyu zamunda nakumbuka mliwahi kumpa airtime sana hewa na kumpamba sana alipodanganya anaachana na soka la kibongo coz anadai hela zake nyingi TFF akasema anaondoka kwenda kuishi nje na hatajishughulisha na soka,kulikoni tena au amelipwa,au alikuwa anatafuta umaarufu?
ReplyDeleteHuyu Zamunda hana lolote la maana analojua zaidi ya kulalamika tu kila siku wkt timu anayo inamshinda sana sana naona anatafuta tu umaarufu wa kusikika kupitia hiyo timu ni bora angewapa watu wa soka hiyo timu wafanye kazi tuone matunda yake.
ReplyDelete