Search This Blog

Sunday, May 6, 2012

LIVE MATCH CENTRE: SIMBA 5-0 YANGA FULL TIME


KICK OFF: SIMBA VS YANGA
DK: 1 - Emmanuel Okwi wanawainua Simba vitini
JUKWAA LA MASHABIKI WA YANGA



WANASIMBA


Young Africans inafaya shambulizi dkk ya 8 ya mchezo, shuti linagonga mwamba wa juu na kutoka.

Hamis Kiiza anakosa bao la wazi dakika ya 19 ya mchezo

Dakika ya 25, Simba 1 - 0 Young Africans.

Hamis Kiiza anakosa tena bao la wazi dakika ya 33, baada ya kuwatoka mabeki wote wa timu ya simba.
Shadrack Nsajigwa anaonyeshwa kadi ya njano dakika ya 39 ya mchezo.
Half time: Simba 1-0 Yanga

Mwali wa VPL akisubiri kunyanyuliwa na mnyama



Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza,
Simba SC 1- 0 Young Africans.
Young Africans inafanya mabadiliko, anaingia Said Mohamed anatoka Yaw Berk.


Simba wanafanya mabadiliko dakika ya 48, anaingia Jonas Mkude anatoka Mwinyi Kazimoto.

DK.50 Felix Sunzu anakosa bao la wazi hapa.


DK 55: Simba wanapata penati na Sunzu anaipatia Simba bao la pili. 

Young Africans inafanya mabadiliko dakika ya 56, anaingia Kenneth Asamoah anatoka Davies Mwape.

Emmanuel Okwi anaipatia Simba SC bao la tatu dakika ya 63.

Juma Kaseja anaipatia Simba goli la nne kupitia penati. 

Athumani Idd Chuji anampiga kwanja la makusudi Okwi nna simba wanapewa penati - Patrick Mafisango anaweka mpira kimiani. 
Mpira umemalizika, Simba 5 - 0 Young Africans

4 comments:

  1. tulichowafanya waarabu ndo tunawafanya leo yanga,watajuta

    ReplyDelete
  2. Shaffih Dauda haya matokeo ya 5 ni kweli ama kuna mtu ame hack web yako analeta utani

    ReplyDelete
  3. Kama kawaida ilikuwa ni okwi vs yanga!nampongeza yupo juu na al players kiujumla wa simba wametupa raha fan wao.ila okwi angepewa penat apate hat trick jaman.yote kwa yote msimu huu tutaukumbuka daima.
    Mkufunzjr.

    ReplyDelete
  4. Ally wajihi, SUA-MOROGOROMay 7, 2012 at 1:46 AM

    Iv shafii umefurahi leo hii ama umenuna?...coz hatukuelewi mwenze2 uko upande upi...Joph kaniambia kuwa yeye ni majimaji ya songea, what about u?...najua unafkiria kuchukua kad ya simba c ndio?, karibu mkubwa.. mnyama anasonga mbele.

    ReplyDelete