KICK OFF: Al Ahly vs Simba
05: Al Ahly wanaonekana kucheza kwa nguvu huku wakitaka goli la mapema lakini Simba wanatulia na kutuliza mashambulizi yao.
10: Emmanue Okwi anakosa bao hapa
15: Al Ahly wanashambulia goli simba kwa nguvu
20: Shandy wanapata faulo nje kidogo na goli la Simba - wanapiga na Juma Kaseja anaokoa kwa ustadi. Inakuwa kona tasa.
25: Ndani ya dakika 5 kutoka dk ya 20 mpaka 25, Shandy wanaonekana kulishambulia sana goli la Simba.
30: Simba wanakosa bao hapa, Mwinyi Kazimoto anatoa pasi nzuri ya mwisho kwa Uhuru anayepiga shuti na kipa anaokoa, inakuwa kona ambayo nusura Mafisango atie kambani.
35: Simba wanalishambulia goli la Shandy - Emmanuel okwi anajaribu kupenya na kutoa pasi kwa mwenzie anayeipoteza akiwa ana kwa ana na kipa.
37: Simba wanaonekana kucheza vizuri ndani ya dakika hizi chache kuelekea mwisho wa kipindi cha kwanza.
38: Al Ahly 0-0 Simba
44: Timu zinashambuliana zamu kwa zamu, na zinaongezwa dakika 2 kabla ya mapumziko.
45: Half time - mpira mapumziko sasa. Simba 0 (Agg.3-0) - 0 Al Ahly Shandy.
46: Mpira unaanza ndani ya kipindi hiki cha pili na Al Ahly Shandy wanapata goli hapa. Ahly 1-0 Simba
PENATI ZINAPIGWA
Simba 1, 0, 1, 1, 1, 1, 1, 1, 1, 0
Shandy 1,0, 1, 1, 1, 1, 1, 1,1,1
Juma Kaseja anakosa penati na Simba wanatolewa katika michuano hii.
poleni simba
ReplyDeleteNjon mpumuzike bongo mjiandae na lig yenu ya nyumban,lakn polen....!
ReplyDeleteMe nlijua tu kaseja atakosa ile penat,manake alikuwa kashachoka sana,ht udakaji wake wapenat haukuwa wa kawaida! Usiku mbaya sana kwangu,Man u kapa,Simba the same! Raphael Mageni-88.0 tbr!
ReplyDelete