|
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Shabaan Nditi, Juma Nyosso, na Bocco wakiwa wamebeba jeneza la mchezaji mwenzio Patrick Mafisango wakati likiingia katika viwanja vya TCC kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kwenda kwao DRC Congo kwa ajili ya mazishi. |
|
Taifa Stars wa kwanza kushoto ni kocha wa makipa, Juma Pondamali |
|
Katikai Kim Poulsen kocha wa Stars, kushoto Msaidizi wake Sylvester Marsh na kulia Meneja Leopold Mukebezi |
|
Azim Dewji kulia na Leonard Thadeo kushoto |
|
Gwiji wa Simba, Abdallah Kibadeni kushoto na Uhuru Suleiman |
|
Makocha wa Yanga,
Freddy Felix Minziro na kocha wa makipa Mfaume Athumani wakiwa na beki
wa zamani wa Yanga, Willy Martine 'Gari Kubwa' wa pili kutoka kushoto |
|
Makumbi Juma katikati |
|
Eric Sagala 'Cantona' katikati |
|
Suleiman Matola kulia |
Juma Nyosso kushoto na John Bocco 'Adebayor' kulia wakiwa wamebeba jeneza
|
Shabiki Mkongomani akidhibitiwa baada ya kupagawa alipoona jeneza la marehemu Mafisango |
|
Amir Maftah aliyebeba msalaba na Mwinyi Kazimoto kashika picha |
|
Nahodha wa Simba Juma Kaseja akisaidiwa baada ya kushindwa kujizuia na kuangua kilio kiasi cha kuishiwa nguvu |
|
Kaseja ni huzuni na kilio |
|
Jeneza la Patrick Mutesa Mafisango |
|
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu na Leslie Liunda kushoto |
|
Kocha wa Simba, Milovan Cirkovick |
|
Milovan kilio |
|
Shabiki 'hayawani' la Yanga, maarufu kama J4 likicheka msibani |
|
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dk Fennella Mukangara (wa pili kutoka kushoto)akiingia Uwanja wa TCC |
|
Dk Fenella na Thadeo wakijadiliana |
|
Jamal Malinzi mwenye miwani |
|
Ibada |
|
Mchungaji Tito Kyame akiongoza ibada ya kumuombea marehemu |
|
Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa akitoa rambirambi |
|
Ofisa wa Push Mobile, mmoja wa wadhamini wa Simba akitoa rambirambi |
|
Mwenyekiti wa Simba, ALhaj Ismail Aden Rage akitoa hotuba |
|
Wazee wenye busara wa Simba |
|
Rage akimuinua Dk Fenella akahutubie |
|
Athumani Tippo 'Zozzou' |
|
Kiggi Makassy kulia |
|
Clement Kahbuka kushoto na Athumani Jumapili Chama kulia |
Too sad...Umetuachia majonzi makubwa R.I.P Patrick Muteesa Mafisango.
ReplyDeleteShukrani Shaffih kwa matukio katika picha pamoja na kwamba uko mbali.
Mdau
Mike
Tuseme nini sasa, basi tu tunabaki na huzuni, Mafisango utangulie kwa amani.
ReplyDeleteHilo shabiki J4 a.k.a Hayawani..ni laanatulah..ndiyo maana mungu kamuumba kilema...
ReplyDeletesio shabiki hayawani huo ndio utani wa jadi sio lazima ulie kwenye msiba
ReplyDelete