Mbunge wa kawe/Chadema Halima mdee yeye pamoja Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) jana walienda kumuona Lulu, na kwa wakati huu Mh Halima Mdee kupitia mtandao wa Tweeter anaendesha kampeni ya Kuchangisha Pesa za malazi kwa ajili ya familia ya Lulu (mama yake).
Mh.Halima mdee amesema kwamba lulu anahitaji mwanasheria makini wa kuweza kumnasua kwenye kesi hiyo, lakini pia anahitaji mwana saikolojia (psychological support) wa kuzungumza nae ili aweze kuwa fresh kiakili.
kwa wakati huu Lulu anashikiliwa katika kituo cha polisi Oysterbay
SOMA TWEETS ZA @HALIMA MDEE
Halima J Mdee @halimamdee
Watz wenzangu. Leo mimi na mhe. Bulaya tulikwenda kumuona Lulu oysterbay polisi. She really needs our support. Kwanza she is only 17..
Halima J Mdee @halimamdee
Pili anahitaji sana psychological support. Nawaomba watu wenye taaluma hiyo wasisite kwenda kumuona. wasiliana na 0714282527steve nyerere.
Halima J Mdee @halimamdee
Tatu anahitaji wanasheria makini wa kumsaidia. Kwa yeyote ambaye yuko tayari naomba awasiliane nami 0759569823..
Halima J Mdee @halimamdee
Nne,at that tender age ndio alikuwa anategemewa na familia yake. Now yuko ndani matatizo yamezidi kuwa makubwa.
Halima J Mdee @halimamdee
Kwa yeyote anayeguswa,naomba atume chochote kwenye namba hii 0754878890 ni namba ya m pesa ya mama yake Tumsaidie huyu mtoto!
Again ..Namba ya M -PESA kwa wanaotaka msaidia Binti yetu Lulu+255754878890.Ni namba ya mama yake!
Kuna watu kibao wanahitaji misaada ya kisheria kuhusu kuporwa viwanja na mafisadi ktk jimbo lake la kawe ameshindwa kuwasaidia,leo hii anafanya harambee ya kumchangia Lulu.Ww si mbunge kwa nini usitoe mshahara wako ulio mkubwa kumsaidia Lulu kushinda kesi hiyo inayokuja mbele yake.Tz hamna wanasiasa ila kuna wasanii tu,wanawasema CCM kumbe na wenyewe CHADEMA ni hovyo sana
ReplyDeleteNimapema sana kwa waheshimiwa hawa kuonyesha hisia zao kwa bindi LULU,Isitoshe wanaweza kujipoteza kisiasa kwa sasa kwani marehem bado yupo moyoni mwa watanzania wengi.Kama wanataka kumsaidi wangefanya kimyakimya na isitoshe tukio zima limetawaliwa na mambo ya ANASA.
ReplyDeleteThats is Good!! But i dont think if this is right time!! ndio kwanza Kanumba Kazikwa jana na watu bado wana kidonda cha kuondokewa na kanumba!! thats is too faster!! suala la Lulu kuwa anaisaidia familia yake, hata kanumba alikuwa anategemewa sana na mama ake!! Ni bora mama ake Lulu ambaye akienda leo cjui kituo cha Polisi au Gerezani atamuona mwanae!! Mama ake Kanumba aende wapi?? kumuona Mwanae!! Acheni hayo mambo hakuna mtu yeyote atakaye wa support at this time!!
ReplyDeletesiasa ikae pembeni kabisa its court of law which will detarmine those facts not politics/politicians inconvenience
ReplyDeleteKwa logic ya haraka kwanza iwe fundisho kwa vibinti vingine ambavyo vinaacha kufikiria shule na kukaa kuwaza mapenzi tena kwa binti mdogo kama huyo LULU kufikiria kutembea na maceleb tena walio wazidi umri mkubwa kiasi hicho,naomb mahakama iachiwe ifanye kazi yake na wewe mh usitake kutuhudhi watu sa hivi!
ReplyDeleteSheria inasemaje,mtu mzima ukiwa unatembea na msichana under 18?.kwahiyo marehemu alikuwa anambaka au vip.
ReplyDeleteMimi naona ungeendelea na mambo yako ya kisiasa ukaachana na mambo haya kuna watu wanagapi wamewawa na tena na polisi na hakuna msaada wowote wa kisheria ndugu waliopewa au wewe ulikuwa mshenga wao
ReplyDeleteHii inaonesha Mdee ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri.. huwezi kumsemea Lulu kuwa ni mtoto mdogo wakati cku nyingi mwenyewe alishajisemea kuwa yeye co mtoto bali ni mtu mzima.. hzo harambee naamini jimboni kwako Kawe kuna wanainchi wengi xana wanahitaji misaada,hao umewapotezea now unapiga harambee kwa kijitu kilichoshindikana kufunzwa na mamaye wacha kikanyee debe kifunzwe na ulimwengu.. Fact hiyo harambee yako umewadhihirishia watanzania the way upeo wako ulivyo "STATIC".
ReplyDelete