Search This Blog

Tuesday, April 10, 2012

DIAMOND: SIKU ALIYOKUFA KANUMBA IWE SIKU RASMI YA KUMKUMBUKA KAMA ILIVYO KWA VIONGOZI WA SERIKALI

7 comments:

  1. Aaaaaah,sawa bwana mdogo,lkn so, kila mmoja ana mawazo yake ckulaumu,lkn tambua jamaa ndo keshatutoka kwetu mambo yanaendelea,kumbu2 nzuri ni kupiga kazi,walikuwepo mastaa wa ukweli kama NESTA,2PAC,JACKS..... Hawana hayo ya cku maalum kiiivyo, 2ache bla bla.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ni uvivu wa kufikiri kisa walikuwepo mastaa wa ukweli kama ulivyowaita wewe na hawana siku za kuwakumbuka kwa hiyo na sisi tuwaige, wazo la bwana Diamond ni wazo jema na halimaanishi watu waache kufanya kazi siku hiyo na si lazima lichukuliwe na serikali hata chama cha wasanii wanaweza kulifanyia kazi wazo hilo kwani Bwana Kanumba alikuwa na uthubutu ambao wasanii wengi hawakuwa nao nikuambie amesaidia kuwaweka sokoni wengi kwa hiyo wao wanaweza kutafuta namna ya kumkumbuka Kanumba katika Tasnia hiyo kwa namna ya kuthamini mchango wake mkubwa katika Tasnia ya Filamu Tanzania, Kututoka kwa Kanumba hakumaanishi kila alichokifanya nacho kimetutoka ila ni kama amewaachia watu jukumu la kuendeleza yale mema aliyokuwa anayafanya.

      BASATA hiki ni chombo cha serikali kinaweza kikatafuta namna ya kumkumbuka Kanumba na kutambua mchango wake mkubwa katika Tasnia hiyo kwa hiyo wazo la bwana Daimond liko Valid kabisa nafikiri the way wewe ulivyoitafsiri serikali umeangalia pale Ikulu ukasahu kwamba serikali ni mwamvuli na chini yake kunakuwepo na stakeholders ambao wanafanya kazi kwa niaba ya serikali hiyo hiyo.
      R.I.P Kanumba
      Mdau
      Mike

      Delete
    2. diamond anamawazo sawa na elimu yake. Leo amekufa kanumba 2weke cku ya kumbukumbu, kesho akifa yeye nae 2weke mwisho wa cku mwaka mzima unakua cku za kumbukumbu. Dunia haiend hvyo diamond, fanya ukasome ubongo ucjeganda zaid.

      Delete
  2. Acha zengwe we2 Michael Jakson mwenyewe tushamsahau Nyie wasanii tatizo lenu mlo wengi darasa la 7!

    ReplyDelete
  3. diamond kaka dunia haiendi haiendin hivyo.. sasa dunia nzima tungekua na PUBLIC HOLIDAYZ NGAPI KAKA...? WEW STAR BRO NENO LOLOTE UNALOONGEA LINACHUNGUZWA... UNAJISHUSHIA HESHIMA KWA KUONGEA UPUUZI KAKA... SIKUTEGEMEA BRO KA UNAAKIR FINYU KIASI HICHO..

    ReplyDelete
  4. Iddi Barwani a.k.a Critical Thinker{C.T},kumkmbuka kanumba haimaanish iwe holiday,kwa bongo weng walikuwepo but hawakua na mchango kwny tasnia ukiwalingnisha na Kanumba,ANASTAHIL KUKMBUKWA KW CKU MAALUM,WASANII WAKAE NA KULITATHMIN HIL,Soko la muvi bongo lmekros boda kwa7bu yake,R.I.P BRO!.

    ReplyDelete
  5. Ouch! Afafhali mbaraka mwishee.. Mbona wako wengi wanaipeperusha bendera ya TZ sana tu. Mimi naona wengi wamepata hii shock kwa vile alivyokufa wengi wanafikiria ingekua mimi. Kila siku wanapiga wanawake mbona hamuongelei uonevu Es wanawake Tanzania? Mbona hamna anayesema alichokua anampiga lulu? Kwa vile hakuna anayejali kupigwa kwa wanawake. Hiyo siku bora iwe domestic / women abuse awareness

    ReplyDelete