Kumbe lilikuwa bonge la pambano, mzee wa rorya alianza vizuri ila Cheka machine.Mzee wa rorya na mbunge mtarajiwa kama ambavyo nilikuwa najua lazima angekuja na sababu za kwanini alichezea kichapo na sababu yake imeniacha hoi kwamba alikuwa hamuoni cheka ulingoni alitaka kunivunja mbavu niliposikia sababu hiyo aliyoitoa, kwa hiyo sasa ana amini alipigwa misumari na yuko tayari kurudiana tena na cheka promota akijitokeza huyo jamaa kweli jeuri. Mdau Mike
Kumbe lilikuwa bonge la pambano, mzee wa rorya alianza vizuri ila Cheka machine.Mzee wa rorya na mbunge mtarajiwa kama ambavyo nilikuwa najua lazima angekuja na sababu za kwanini alichezea kichapo na sababu yake imeniacha hoi kwamba alikuwa hamuoni cheka ulingoni alitaka kunivunja mbavu niliposikia sababu hiyo aliyoitoa, kwa hiyo sasa ana amini alipigwa misumari na yuko tayari kurudiana tena na cheka promota akijitokeza huyo jamaa kweli jeuri.
ReplyDeleteMdau
Mike
cheka nunda,atawadunda sana. Kazi moyo..!
ReplyDelete