MTANGAZAJI WA SPORTS XTRA/BAR YA CLOUDS FM/TV ATIMULIWA NA WANACHAMA KWENYE PRESS CONFERENCE YA YANGA!
MTANGAZI WA CLOUDS MEDIA GROUP ALEX LUAMBANO ALIPOFANYIWA FUJO NA WANAOSEMEKANA WANANCHAMA WA YANGA PALE KLABUNI KWA KILE KILICHODAIWA WATANGAZJI WA VIPINDI VYA MICHEZO VYA CLOUDS MEDIA GROUP HAVIITENDEI HAKI KLABU YA YANGA.
Hivi hao Yanga wana kipi hasa cha maana mpaka kuwafukuza waandishi wa habari, huo ni uswahili na huyo Katibu wa Yanga aliyeidhinisha huyo mwandishi aondoke sio mwana michezo. Klabuni kumejaa wahuni watupu, klabu inaendeshwa kienyeji, nyie ni nani msiambiwe ukweli kwa uspesho gani mlionao na klabu yenu hiyo isiyo na mafanikio yoyote ya maana.Kazi kulea mijitu hapo klabuni isiyo na mbele wala nyuma na huyo Luis Sendeu anasahau kwamba na yeye ni mwandishi wa habari kubariki maamuzi hayo ni kuitukanisha taaluma yake mwenyewe. Mkae mkijua klabu hiyo sio mali yenu ya mfukoni na leo mpo hapo kesho hampo, na kumbukeni ni waandishi hawa hawa wanao wapigia promo za mechi zenu kila siku na mashabiki wanakwenda leo unakurupuka na kutoa maamuzi kama vile umeamka kutoka usingizini. Ila ni wapongeze waandishi wa habari wote walio amua kuondoka baada ya mwenzao kufukuzwa, Hao Yanga waende wakaandike habari zao kwenye lile gazeti lao lisilonunulika mjini. Kaka Lwambano na waandishi wengine wote mliofukuzwa endeleeni kuwachana hiyo sio njia sahihi ya kuwafunga mdomo sana sana. Nimesikitishwa sana na maamuzi ya uongozi wa Yanga. Mdau. Mike.
Dah! Inasikitisha sanaa, yaani hapa ndipo tulipofikia?!! Hizi zote ni hasira za kufungwa au kuna jengine? Hii ndio inayoitwa timu kubwa?!!! Kama leo wanawafukuza waandishi ndio kuna maendeleo hapo?!! Poleni sana waandishi, na afadhali mulivyokubali kutoka maana jamaa alishaanza kutoa macho, mungechelewa kidogo tu angeitwa Mwasika awa 'Nkono'..
Mike kabla ya kuwakosoa yanga,wakosoe clouds mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya simba ni mtangazaji,ni sawa na Nape awe mtangaziji atawatendea haki chadema?
Yah, Inabidi kweli watangazaji wa kipindi cha sports extra mjirekebishe maana hata mimi kama mwanataaluma siungi mkono style yenu ya utangazji mnakuwa kama nyie hakimu wa kila kitu. Kuanzia sakata la CDA, African Sports,Yanga na hata wakati wa Mbwana Samata sijapenda mnavyo present kipindi chenu ukizinagtia Clouds Radio ina vipindi bora kabisa sasa chenu mnakifanya kitie doa Radio yetu(Ya watu) Shaffi na wenzio mnawakera hata wasio jua fani hii ya habari. Mtu akisikiliza kipindi chenu mara moja anajua nyie ni washabiki wa timu gani jambo ambalo ni udhaifu mkubwa sana. Jifunzeni kwa Gamba na Kitenge!
kuna vyombo vya habari ambavyo vinajielekeza sehemu flani kwa kipindi ambacho timu flani inafanya vizuri siwezi walaumu Clouds, eti wanapendelea timu flani hapana me navyojua ata vyombo vya ulaya timu inapofanya vizuri utakuta waandishi wote wamejielekeza kule, sio kitu kigeni kwao ila kwetu kwa kuwa soka la bongo ni la fitna basi zile fitna tunataka kuzipeleka kwa vyombo vya habari .. acheni hisia za kipuuzi na mawazo ya kipuuzi ambayo hayana tja kwa maandeleo ya soka la bongo.. kila siku tutakuwa tunashikana uchawi kwani waandishi ndio wanacheza mpira wanapotuabarisha habari za soka.. ni sisi na madudu yetu tnayoonyesha viwanjani ndio haya leo yametutokea puan sheria 17 azikufuatwa.. mpaka leo superport wametusaidia kutuonyesha maubovu yetu.. faulo ziafanyika za dhahiri mtu anaacha mpira anamfata mchezaji refa wala aoni.. "mpira umefata mkono sio kono umefata mpira" anaruhusu mpra upigwe.. penalt isiyo na macho inapigwa refa ata kujiuliza mazingira yalikuwa je hapana.. sababu tu asipoweka mzani sawa kesho hapiti barabaran... tutaendelea na soka letu la Mbuzi na kuku huku wenzetu wakijitaidi kupandisha soka la kwao..na ubaki tukivilaumu vyombo vya habari vimesababisha matokeo mabaya viwanjani.. kumbe ni wachezaji wenyewe pamoja na wenye kutia sumu (viongozi wa vilabu) naamini tukitaka mafanikio lazima kwanza tujikosoe sisi wenyewe kuliko kuwakosoa waandishi ambao wanafanyia haki taaluma yao mpaka wako tayari kupoteza uhai a maisha yao kama David Mwangosi na siombi mabaya yawatokee tusikie kwamba mwandishi kapigwa mpaka kufa na washabiki wenye hasira kali eti tu kuandika habari zinazowahusu wao iwe nzur or mbaya.. Asanten
kuna vyomo ambavyo vinajieleeza sehemu flani kwa kipindi ambacho tim flani inafanya vizuri siwezi walaumu Clouds, eti wanapendelea timu flani hapana me navyojua ata vyombo vya ulaya timu inapofanya vizuri utakuta waandishi wote wamejielekeza kule, sio kitu kigeni kwao ila kwetu kwa kuwa soka la bongo ni la fitna basi zile fitna tunataka kuzipeleka kwa vyombo vya habari .. acheni hisia za kipuuzi na mawazo ya kipuuzi ambayo hayana tja kwa maandeleo ya soka la bongo.. kila siku tutakuwa tunashikana uchawi kwani waandishi ndio wanacheza mpira wanapotuabarisha habari za soka.. ni sisi na madudu yetu tnayoonyesha viwanjani ndio haya leo yametutokea puan sheria 17 azikufuatwa.. mpaka leo superport wametusaidia kutuonyesha maubovu yetu.. faulo ziafanyika za dhahiri mtu anaacha mpira anamfata mchezaji refa wala aoni.. "mpira umefata mkono sio kono umefata mpira" anaruhusu mpra upigwe.. penalt isiyo na macho inapigwa refa ata kujiuliza mazingira yalikuwa je hapana.. sababu tu asipoweka mzani sawa kesho hapiti barabaran... tutaendelea na soka letu la Mbuzi na kuku huku wenzetu wakijitaidi kupandisha soka la kwao..na ubaki tukivilaumu vyombo vya habari vimesababisha matokeo mabaya viwanjani.. kumbe ni wachezaji wenyewe pamoja na wenye kutia sumu (viongozi wa vilabu) naamini tukitaka mafanikio lazima kwanza tujikosoe sisi wenyewe kuliko kuwakosoa waandishi ambao wanafanyia haki taaluma yao mpaka wako tayari kupoteza uhai a maisha yao kama David Mwangosi na siombi mabaya yawatokee tusikie kwamba mwandishi kapigwa mpaka kufa na washabiki wenye hasira kali eti tu kuandika habari zinazowahusu wao iwe nzur or mbaya.. Asanten
Clouds wazuri sana kukosoa kuliko kukubali kukosolewa,ukweli nilishaacha kusikiliza kipindi chao maana wao ni watangazaji,makocha,wanasheria,wasimamizi wa chaguzi,hasa ili la mtangazaji kuwa mjumbe wa kamati ya timu moja hata sijui kitaaluma lipoje.
Clouda mnatakiwa kuangalia mnakosea wapi na mjirekebishe pia,haiingi akilini mjumbe na mwenyekiti wa kamati tena ya ufundi ya timu anakuwa mtangazaji,mbaya zaidi amekuwa mzuri kutoa makosa ya upande mmoja na kupendelea upande mwingine,kwa mfano siku boban amepewa kadi nyekundu mechi ya jkt aliitisha mkutano akasema ameonewa,usiku anaendesha kipinda anakuwa mtangazaji
Uomgozi wa yanga hovyo kabisa.Ndio maana wachezaji hawana nidhamu kwa sababu viongozi wenyewe ni hovyo.Clouds wanakosa gani? kama yanga wanafanya madudu yasiripotiwe? ndio maana timu haiendi mbali michuano ya kimataifa!!! Kwa mtazamo wangu vipindi vya michezo vya clouds vinaongoza kwa mbali kwa ubora ukilinganisha na station zingine.Watangazaji wake wote wanaonekan kabisa wanaijua michezo na wamefanya research ya kutosha.Nilikuwa naipenda san yanga kufikia kwenda klabuni kuangalia mazoezi na kulipa kiingilio pale! nimeacha zamani sana! Nimewachia wajinga kama wale walioonyeshwa kwenye hiyo clip wakimfukuza Lwambano.
Tatzo sio yanga,wala vyombo vya habar! Tatizo ni kutojua mpira na taratibu zake! Ubinadam una viti, Maigizo kutoka nje ya nchi ni mengi bila kuzingatia falsafa tulonayo na michezo kwa ujumla! Mfano TFF, Club, affliates,Uongoz,team,Coach,Manager captain wachezaj-fans-habar ki-mpira wana kaz zao na mipaka yao-tofauti na hapo tusishangae matokeo! maana mpira ni facult kama zilivo nyingine,ivo unahtaj uelewa kama sio elimu! Narudia kusema ''Mwl mzur ni mwanafunzi'' (msomi mzur ni yule anayesoma sio aliyosoma)
Hivi hao Yanga wana kipi hasa cha maana mpaka kuwafukuza waandishi wa habari, huo ni uswahili na huyo Katibu wa Yanga aliyeidhinisha huyo mwandishi aondoke sio mwana michezo.
ReplyDeleteKlabuni kumejaa wahuni watupu, klabu inaendeshwa kienyeji, nyie ni nani msiambiwe ukweli kwa uspesho gani mlionao na klabu yenu hiyo isiyo na mafanikio yoyote ya maana.Kazi kulea mijitu hapo klabuni isiyo na mbele wala nyuma na huyo Luis Sendeu anasahau kwamba na yeye ni mwandishi wa habari kubariki maamuzi hayo ni kuitukanisha taaluma yake mwenyewe.
Mkae mkijua klabu hiyo sio mali yenu ya mfukoni na leo mpo hapo kesho hampo, na kumbukeni ni waandishi hawa hawa wanao wapigia promo za mechi zenu kila siku na mashabiki wanakwenda leo unakurupuka na kutoa maamuzi kama vile umeamka kutoka usingizini.
Ila ni wapongeze waandishi wa habari wote walio amua kuondoka baada ya mwenzao kufukuzwa, Hao Yanga waende wakaandike habari zao kwenye lile gazeti lao lisilonunulika mjini.
Kaka Lwambano na waandishi wengine wote mliofukuzwa endeleeni kuwachana hiyo sio njia sahihi ya kuwafunga mdomo sana sana.
Nimesikitishwa sana na maamuzi ya uongozi wa Yanga.
Mdau.
Mike.
Dah! Inasikitisha sanaa, yaani hapa ndipo tulipofikia?!! Hizi zote ni hasira za kufungwa au kuna jengine? Hii ndio inayoitwa timu kubwa?!!! Kama leo wanawafukuza waandishi ndio kuna maendeleo hapo?!!
ReplyDeletePoleni sana waandishi, na afadhali mulivyokubali kutoka maana jamaa alishaanza kutoa macho, mungechelewa kidogo tu angeitwa Mwasika awa 'Nkono'..
'Daima Mbele Nyuma mwiko'...hahahaha
de Bebeto.
Clouds FM/TV kama mnavyojiita the people station mmejifunza nini katika hili? badirikeni fanyeni kazi kitaaruma sio ubabaishaji.
ReplyDeleteMike kabla ya kuwakosoa yanga,wakosoe clouds mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya simba ni mtangazaji,ni sawa na Nape awe mtangaziji atawatendea haki chadema?
ReplyDeleteYah, Inabidi kweli watangazaji wa kipindi cha sports extra mjirekebishe maana hata mimi kama mwanataaluma siungi mkono style yenu ya utangazji mnakuwa kama nyie hakimu wa kila kitu. Kuanzia sakata la CDA, African Sports,Yanga na hata wakati wa Mbwana Samata sijapenda mnavyo present kipindi chenu ukizinagtia Clouds Radio ina vipindi bora kabisa sasa chenu mnakifanya kitie doa Radio yetu(Ya watu) Shaffi na wenzio mnawakera hata wasio jua fani hii ya habari. Mtu akisikiliza kipindi chenu mara moja anajua nyie ni washabiki wa timu gani jambo ambalo ni udhaifu mkubwa sana. Jifunzeni kwa Gamba na Kitenge!
ReplyDeleteKweli inawezekana ukilipenda chongo ukaliita kengeza!!!! Upo makini kabisa ukisema mtu akajifunze kwa Kitenge???????????????
Deletekuna vyombo vya habari ambavyo vinajielekeza sehemu flani kwa kipindi ambacho timu flani inafanya vizuri siwezi walaumu Clouds, eti wanapendelea timu flani hapana me navyojua ata vyombo vya ulaya timu inapofanya vizuri utakuta waandishi wote wamejielekeza kule, sio kitu kigeni kwao ila kwetu kwa kuwa soka la bongo ni la fitna basi zile fitna tunataka kuzipeleka kwa vyombo vya habari .. acheni hisia za kipuuzi na mawazo ya kipuuzi ambayo hayana tja kwa maandeleo ya soka la bongo.. kila siku tutakuwa tunashikana uchawi kwani waandishi ndio wanacheza mpira wanapotuabarisha habari za soka.. ni sisi na madudu yetu tnayoonyesha viwanjani ndio haya leo yametutokea puan sheria 17 azikufuatwa.. mpaka leo superport wametusaidia kutuonyesha maubovu yetu.. faulo ziafanyika za dhahiri mtu anaacha mpira anamfata mchezaji refa wala aoni.. "mpira umefata mkono sio kono umefata mpira" anaruhusu mpra upigwe.. penalt isiyo na macho inapigwa refa ata kujiuliza mazingira yalikuwa je hapana.. sababu tu asipoweka mzani sawa kesho hapiti barabaran... tutaendelea na soka letu la Mbuzi na kuku huku wenzetu wakijitaidi kupandisha soka la kwao..na ubaki tukivilaumu vyombo vya habari vimesababisha matokeo mabaya viwanjani.. kumbe ni wachezaji wenyewe pamoja na wenye kutia sumu (viongozi wa vilabu) naamini tukitaka mafanikio lazima kwanza tujikosoe sisi wenyewe kuliko kuwakosoa waandishi ambao wanafanyia haki taaluma yao mpaka wako tayari kupoteza uhai a maisha yao kama David Mwangosi na siombi mabaya yawatokee tusikie kwamba mwandishi kapigwa mpaka kufa na washabiki wenye hasira kali eti tu kuandika habari zinazowahusu wao iwe nzur or mbaya.. Asanten
Deletekuna vyomo ambavyo vinajieleeza sehemu flani kwa kipindi ambacho tim flani inafanya vizuri siwezi walaumu Clouds, eti wanapendelea timu flani hapana me navyojua ata vyombo vya ulaya timu inapofanya vizuri utakuta waandishi wote wamejielekeza kule, sio kitu kigeni kwao ila kwetu kwa kuwa soka la bongo ni la fitna basi zile fitna tunataka kuzipeleka kwa vyombo vya habari .. acheni hisia za kipuuzi na mawazo ya kipuuzi ambayo hayana tja kwa maandeleo ya soka la bongo.. kila siku tutakuwa tunashikana uchawi kwani waandishi ndio wanacheza mpira wanapotuabarisha habari za soka.. ni sisi na madudu yetu tnayoonyesha viwanjani ndio haya leo yametutokea puan sheria 17 azikufuatwa.. mpaka leo superport wametusaidia kutuonyesha maubovu yetu.. faulo ziafanyika za dhahiri mtu anaacha mpira anamfata mchezaji refa wala aoni.. "mpira umefata mkono sio kono umefata mpira" anaruhusu mpra upigwe.. penalt isiyo na macho inapigwa refa ata kujiuliza mazingira yalikuwa je hapana.. sababu tu asipoweka mzani sawa kesho hapiti barabaran... tutaendelea na soka letu la Mbuzi na kuku huku wenzetu wakijitaidi kupandisha soka la kwao..na ubaki tukivilaumu vyombo vya habari vimesababisha matokeo mabaya viwanjani.. kumbe ni wachezaji wenyewe pamoja na wenye kutia sumu (viongozi wa vilabu) naamini tukitaka mafanikio lazima kwanza tujikosoe sisi wenyewe kuliko kuwakosoa waandishi ambao wanafanyia haki taaluma yao mpaka wako tayari kupoteza uhai a maisha yao kama David Mwangosi na siombi mabaya yawatokee tusikie kwamba mwandishi kapigwa mpaka kufa na washabiki wenye hasira kali eti tu kuandika habari zinazowahusu wao iwe nzur or mbaya.. Asanten
Deletenawapongeza waandishi wote kwa kuonyesha ushirikiano wao
ReplyDeleteMdau
Temekepamoja
Chalz Mungodo
Clouds wazuri sana kukosoa kuliko kukubali kukosolewa,ukweli nilishaacha kusikiliza kipindi chao maana wao ni watangazaji,makocha,wanasheria,wasimamizi wa chaguzi,hasa ili la mtangazaji kuwa mjumbe wa kamati ya timu moja hata sijui kitaaluma lipoje.
ReplyDeleteClouda mnatakiwa kuangalia mnakosea wapi na mjirekebishe pia,haiingi akilini mjumbe na mwenyekiti wa kamati tena ya ufundi ya timu anakuwa mtangazaji,mbaya zaidi amekuwa mzuri kutoa makosa ya upande mmoja na kupendelea upande mwingine,kwa mfano siku boban amepewa kadi nyekundu mechi ya jkt aliitisha mkutano akasema ameonewa,usiku anaendesha kipinda anakuwa mtangazaji
ReplyDeleteUomgozi wa yanga hovyo kabisa.Ndio maana wachezaji hawana nidhamu kwa sababu viongozi wenyewe ni hovyo.Clouds wanakosa gani? kama yanga wanafanya madudu yasiripotiwe? ndio maana timu haiendi mbali michuano ya kimataifa!!! Kwa mtazamo wangu vipindi vya michezo vya clouds vinaongoza kwa mbali kwa ubora ukilinganisha na station zingine.Watangazaji wake wote wanaonekan kabisa wanaijua michezo na wamefanya research ya kutosha.Nilikuwa naipenda san yanga kufikia kwenda klabuni kuangalia mazoezi na kulipa kiingilio pale! nimeacha zamani sana! Nimewachia wajinga kama wale walioonyeshwa kwenye hiyo clip wakimfukuza Lwambano.
ReplyDeleteTatzo sio yanga,wala vyombo vya habar! Tatizo ni kutojua mpira na taratibu zake! Ubinadam una viti, Maigizo kutoka nje ya nchi ni mengi bila kuzingatia falsafa tulonayo na michezo kwa ujumla! Mfano TFF, Club, affliates,Uongoz,team,Coach,Manager captain wachezaj-fans-habar ki-mpira wana kaz zao na mipaka yao-tofauti na hapo tusishangae matokeo! maana mpira ni facult kama zilivo nyingine,ivo unahtaj uelewa kama sio elimu! Narudia kusema ''Mwl mzur ni mwanafunzi'' (msomi mzur ni yule anayesoma sio aliyosoma)
ReplyDeleteNa bado....!!!
ReplyDeletePOLE SANAAA HAO YANGA WANAFAA KUA MABONDIA
ReplyDelete