Search This Blog

Friday, April 6, 2012

MATCH LIVE CENTER: ES SETIF vs SIMBA SC.

  
CAF CONFEDERATION CUP

ES SETIF ( ALGERIA )    Vs SIMBA SC ( TANZANIA )  0:2

KICK OFF: 20:00

Tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuwapatia live updates pindi mchezo utakapoanza!

KARIBUNI SANA!

21 comments:

  1. Kaka tunawategemea kwa updates!

    ReplyDelete
  2. 2nasubr kwa hamu ya simba

    ReplyDelete
  3. kweli bna mm nimeshndwa hata kula coz sipati updates za huko,redion wanapga muziki tuuu.

    ReplyDelete
  4. Juma nyoso red car
    simba 0-0 setif

    ReplyDelete
  5. dah tutatoka kweli kaka!

    ReplyDelete
  6. nasikia tumepata red card kweli?

    ReplyDelete
  7. Nimesikia simba iko nyuma goli 1

    ReplyDelete
  8. Tatizo la wachezaj wetu nahisi bado elimu inaitajika kuwaeleza umuhimu wa kujitambua ndani ya uwanja espcially pale timu inapoitaji matokeo!Nyoso umetusonesha sisi washabiki wa simba coz tunaitaji matokeo afu then unasababisha kadi nyekundu inauma!!

    ReplyDelete
  9. dah jaman wajikaze kdogo watatuua kwa presha

    ReplyDelete
  10. Shaffih mbona hutoi updates kuwa simba kapata goli???!!!!! teh teh teh........

    ReplyDelete
  11. Ha ha ha ha ha inawauma sana shaffih na lwambano.okwi ni nouumaaa.

    ReplyDelete
  12. Mwaka 2012 dunia yako chaguo ni lako, chagua kushangilia Simba uishi kwa furaha tz!

    ReplyDelete
  13. Hongera Simba kwani mmefanya hivyo kwa ajili ya watanzania ambao mara chache mpira wetu wenye mizengwe mingi unawapa furaha.

    ReplyDelete
  14. Kwa kweli Simba wanahitaji pongezi kwa ushindi huu mkubwa kwa klabu na Taifa kwa ujumla, Lakini pia nikupongeze bwana Shaffih Dauda kwa kutupatia upadates toka siku simba wamesafiri kwenda Algeria mpaka dakika za mwisho ulituwekea Clip mbali mbali na kwa kweli zilitupa burudani sana, blog yako ni blog ya pili mimi kuifungua kila siku mara tu niwashapo Laptop yangu, baada ya Michuzi huwa nafungua blog yako, nikushukuru na kukupongeza sana.
    Kwa kweli sitaki kumlaumu Nyoso kwa sasa kwa kuwa tu timu imefuzu ila alipaswa kuwa makini hasa na mbinu chafu za waarabu za kumuondoa mtu mchezoni ukizingatia alikuwa anajua tabia za waarabu na umuhimu wa mtanange huu wa leo na jinsi ambavyo watanzania na mashabiki wengi walikuwa wameweka roho zao rehani.
    Lakini kwa kweli Emanuel Okwi anahitaji pongezi kubwa mchango wake ndani ya Timu na hasa pale timu inapokuwa imezidiwa huwa unamuona anavyohangaika ni mchezaji mwenye uchi wa mafanikio yaani huyu ndiye mcheyaji anayejua ni jinsi mashabiki huwa wanaumizwa timu inapofungwa, lakini pia leo hii ameleta furaha kwa mamilioni ya watanzania waliokuwa wanasubiri matokeo hayo huku roho zikiwadunda kwa dk zote 90, he is a true professional player kwani anajielewa, lakini pia mimi sintoshangaa kuona Okwo akitakiwa na klabu nyingine ya nje kwani amekuwa akitumia nafasi vizuri.Nimefurahi kwa kweli.
    Nawapongeza sana wachezaji wa simba, viongozi pamoja na mashabiki wote bila kujali itikadi zao,Uongozi wa simba umefanya kazi kubwa kwa kweli na hayo ndio mambo yanayotakiwa.Mungu awajalie mrudi bongo salama, naamini mapokeyi makubwa yanawasubiri pamoja na kwamba kazi haijaisha bado.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  15. Simba wamethubutu, wameweza na wanasonga mbeleeeee

    ReplyDelete
  16. shafii sio siri tumesikitika sana mlivyokuwa mnatujoke wakati tupo nyuma kwa 3-0 maneno mliyokuwa mnaongea ni kejeli sio fresh kuweni wazalendo,angalia sasa tumesonga mbele kiko wapi sasa?chekeni tena basi

    ReplyDelete
  17. Tumuunge mkono juma nyoso kwani kila m2 anajua mchango wake uwanjani. Lakin jana ktk hali ya kuipigania simba ya watanzania alijikuta anapewa red card.weng tulisikitika kwa kuona umuhmu wake wanjani. Lakin ndo mpira ulivyo. Lengo lilikuwa kuwatoa setif tunamshukuru mungu tumewatoa. Karibu nyumban nyoso na wala usijione mnyonge. Pongez kwa wachez wote wa simba. Big up sana

    ReplyDelete
  18. kazi yake mola haina makosa, pole kwa watanzania wote kwa kifo cha Kanumba. kila mtu anajua mchango wake na uwezo wake. RIP STEVEN KANUMBA

    ReplyDelete