Duh, Hii Clip sijui mliipate kwa kweli huyu jamaa kweli shabiki wa kweli kabisa wa Yanga, nimecheka sana ila pia inasikitisha kuona jinsi ambavyo huyo shabiki ameguswa mpaka ameamua kulia kabisa kwa mapenzi yake kwa timu ya Yanga.Lakini swali la kujiuliza ni hilo kwamba matokeo ya Jana yamemuacha katika hali gani, ama maumivu kiasi gani mshabiki huyu.Nimezoea kuwaona watu Hapa Europe wakilia uwanjani timu inapofungwa tena mtu mzima kabisa analia kama mtoto then unajua ni jinsi gani watu wana mapenzi ya kweli na klabu wanazoshangilia. Mdau Mike.
Ahsante sana kaka, hii clip nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sanaa. Kumbe sasa napata picha kwanini mashabiki huwa wanajinyonga au kupata matatizo ya moyo timu zao zinapofungwa...
Huu ndio uzalendo, lakini jee anachokiongelea ni cha kweli? Huu ni uzalendo uliopitiliza, mashabiki wa aina hii wanaamini siku zote timu zao zipo sahihi na ndio wanaopiga marefa..
Pole sana shabiki mzalendo. Hahahahahahahahahaha...!!
Dah huyu jamaa nampata sana, anaishi segerea kwa bibi, yaani huwa ni mtata sana hata kwa timu yake ya manchester united, kwenye vibanda umiza huwa anatusumbua sana, infact yeye siku zote ushabiki kwake ni kuwa akipendacho lazima kishinde, ikiwa kinyume basi analeta ukorofi kweli kweli, duh kwa kuwa hana access ya internet tampelekea hii clip watu tuwe tuna mdharau once akianza fujo zake. ahahah
Ushabiki wa namna hii haufai kwani shabiki huyu always atatetea timu yake hata kama wanafanya vurugu.pia hatakuwa tayari kuona timu yake inafungwa hata kama ni kwa kuzidiwa mchezoni.ingekua vyema ungepata clip yake baada ya kufungwa na toto tuone reaction yake.
Duh, Hii Clip sijui mliipate kwa kweli huyu jamaa kweli shabiki wa kweli kabisa wa Yanga, nimecheka sana ila pia inasikitisha kuona jinsi ambavyo huyo shabiki ameguswa mpaka ameamua kulia kabisa kwa mapenzi yake kwa timu ya Yanga.Lakini swali la kujiuliza ni hilo kwamba matokeo ya Jana yamemuacha katika hali gani, ama maumivu kiasi gani mshabiki huyu.Nimezoea kuwaona watu Hapa Europe wakilia uwanjani timu inapofungwa tena mtu mzima kabisa analia kama mtoto then unajua ni jinsi gani watu wana mapenzi ya kweli na klabu wanazoshangilia.
ReplyDeleteMdau
Mike.
Ahsante sana kaka, hii clip nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sanaa.
ReplyDeleteKumbe sasa napata picha kwanini mashabiki huwa wanajinyonga au kupata matatizo ya moyo timu zao zinapofungwa...
Huu ndio uzalendo, lakini jee anachokiongelea ni cha kweli? Huu ni uzalendo uliopitiliza, mashabiki wa aina hii wanaamini siku zote timu zao zipo sahihi na ndio wanaopiga marefa..
Pole sana shabiki mzalendo. Hahahahahahahahahaha...!!
de Bebeto.
ndio huo ni uzalendo kwa nin mpige marefa tsu boy REUBEN NZOWA sinza stand up!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteDah huyu jamaa nampata sana, anaishi segerea kwa bibi, yaani huwa ni mtata sana hata kwa timu yake ya manchester united, kwenye vibanda umiza huwa anatusumbua sana, infact yeye siku zote ushabiki kwake ni kuwa akipendacho lazima kishinde, ikiwa kinyume basi analeta ukorofi kweli kweli, duh kwa kuwa hana access ya internet tampelekea hii clip watu tuwe tuna mdharau once akianza fujo zake. ahahah
ReplyDeleteUshabiki wa namna hii haufai kwani shabiki huyu always atatetea timu yake hata kama wanafanya vurugu.pia hatakuwa tayari kuona timu yake inafungwa hata kama ni kwa kuzidiwa mchezoni.ingekua vyema ungepata clip yake baada ya kufungwa na toto tuone reaction yake.
ReplyDeleteMdau
Zaki
we Zaki umejuaje kama hana internet?? au ndio majungu jazz band
ReplyDeleteyupo kawaida tu sababu mechi haikuwa na mizengwe kama ya azam refa alikuwa fair siyo hiyo
ReplyDelete