Search This Blog

Wednesday, April 11, 2012

EXCLUSIVE: MAMA MZAZI WA LULU AONGEA - AOMBA SUALA LA KESI YA MWANAE IACHIWE MAHAKAMA

IKIWA NI MASAA TANGU STEVEN KANUMBA AZIKWE, MAMA WA LULU AMBAYE ANASHIKILIWA NA POLISI KWA KUHUTUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA  MSANII HUYO, AMEONGEA NA JOYCE KIRIA KUPITIA KIPINDI CHA WANAWAKE LIVE NA  KUSEMA KUWA ANA MASIKITIKO NA MSIBA WA KANUMBA AMBAYE ALIKUWA NI KAMA MWANAE NA KUMPA POLE MZAZI MWENZIE MAMA KANUMBA, NA AKAOMBA WATU NA VYOMBO VYA HABARI KUACHA KUHUKUMU NA KUEGAMIA UPANDE MMOJA, AKISEMA WALE WOTE NI WATOTO, NA ALIOMBA WANAHARAKATI WAMSADIE KATIKA MATATIZO HAYA KWA MWANAE.. NA KUSEMA HILI SUALA LIKO MAHAKAMANI NA IACHIWE MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE NA WATU WAACHE KUHUKUMU.

1 comment:

  1. Anachosema mama ni kweli kabisa hata mimi naungana nae, LULU anahusishwa tu mauaji ya Kanumba lkn yeye si aliye itoa roho ya kanumba, Mipango ya Mungu tumwachie Mungu wetu mwenyewe, tuache porojo, mimi naamin kabisa kuwa sisi binadamu hatuna uwezo wa kuhukum ilia ni Mungu wetu mwenyewe ndie mwenye uwezo huo, so si vizuri kwetu kuanza porojo weeeeeeeeeeee, tumuombe Mungu asimamie upande wa haki na haki bin haki ichukue mkondo wake, Lulu ni binadamu kama walivyo wengine, tusimuhukum, na kingine namuomba mama kanumba asimamie kweli, amsaidie Lulu ili kuudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ni mkristu tena anaye amini kifo au umauti umeumbwa pia. inaumiza sana ila ndo hivyo kuna wakati wa kucheka, kulia na kuomboleza. mama lulu funga kibwebwe kwa hali ya kibinadamu haya mambo ni magum sana sasa geukia upande wa pili wa shililngi ambao ni kumuita na kuongea na Mfalme wa Amani, Mungu wetu mwenye nguvu na mtenda maajabu duniani kote, naamin ukiomba kwa moyo atajibu tu na ukweli utakuwa pembeni. SIKU ZOTE KWELI HUMUWEKA MTU HURU. NAWAOMBA WATANZANIA TUSIHIKUM TUSIJE KUHUKUMIWA PIA. MUNGU TETEA TATIZO HILI NA ULITATUE, KATIKA JINA LA YESU NAOMBA NAKUSHUKURU AMINA.

    ReplyDelete