Search This Blog

Wednesday, April 11, 2012

BREAKING NEWS: LULU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MADAI KUMUUA KANUMBA

Siku Moja baada ya marehemu Steven Kanumba kuzikwa mtuhumiwa namba moja katika kifo cha Kanumba msanii wa filamu Elizabeth Maiko maarufu - Lulu afikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka ya mauaji kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba.

Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea hapa

14 comments:

  1. HAPO NDO MAHALA PAKE WASIPINDISHE SHERIA KABISA

    ReplyDelete
  2. daahh inatia huruma dogo bado mdogo sn...kwanza anahtajka (psychological support)

    ReplyDelete
  3. TUSIANGALIE UMAARUFU WALA UONEVU BALI SHERIA ITENDE HAKI ..KAMA KATIBA ISEMAVYO.

    ReplyDelete
  4. Lulu bado mdogo sana na anahitaji msaada wa saikolojia bila hivyo ataathirika sana jamani

    ReplyDelete
  5. vipi kesi hii akipewa jaji aliyehukumu kesi ya Lema Arusha?

    ReplyDelete
  6. kwa mawazo yangu nafikiri ni mapema mno kumuhukumu msanii huyu ila mithari vyombo vya sheria vipo tusubiri hatma yake.

    ReplyDelete
  7. Do not condemn the judgment of another because it differs from your own. You may both be wrong.Isijee kuwa ki-ini macho cha sheria ya nnchii hii

    ReplyDelete
  8. Usihukumu usije kuhukumiwa maana kipimo kile umpimiacho mtu ndicho hicho ambacho utapimiwa

    ReplyDelete
  9. huyo siyo mtoto mdogo mbona kwenye ugomvi na kanumba anadai chanzo ni sim aliyopigiwa na bwana yake ambaye ni maarufu nchini muacheni akale mawe!

    ReplyDelete
  10. kiukweli mi nadhani kama kanumba asingefariki, labda angeumizwa akapona, angeweza kumsamehe huyo dogo, kwa umri wake ulivyo anahitaji asamehewe kwa 7bu kiundani zaidi ya kuharibiwa maisha, hakuna atakacho lipa kwa kifo cha kanumba!

    ReplyDelete
  11. Ni wazi kwamba, ukweli anaujua mungu si sahihi watu, kumjaji Lulu wala kumuhukumu kuwa ndie mtuhumiwa kweli, tusubili mitazamo ya kibinadam kutoka mahakamani na si vinginevyo.

    ReplyDelete
  12. Kiukweli huyo mwanadada lulu hana hatia kwani kufa kwa mwanadam ni lazima na lulu sio izilaeli aliyetumwa kutoa roho kanumba, So wamwachie tuuu.

    ReplyDelete
  13. bado dogo ila mshikaji was wron' bytheway kazi ya allah.....kip n touch.

    ReplyDelete