LIGI YA MABINGWA AFRIKA:
MWAKA 1974:NUSU FAINALI:
Simba Vs Mehallal 1-0: 0-1
(Mehalla ilishinda kwa penalti 3-0, ingawa kuna habari za kipa wa Simba, Athumani Mambosasa (sasa marehemu) kufanyiwa fujo, wakati wa upigwaji wa penalti.
MWAKA 1981:
RAUNDI YA PILI:Simba ilitolewa na JET ya Algeria.
MWAKA 2003:
RAUNDI YA PILI:
Simba (Dsm) Vs Zamalek 1-0
Zamalek (Misri) Vs Simba 1-0
(Simba ilifuzu kwa penaliti 3-2)
MECHI ZA KUNDI A:
Sept. 7/2003: Simba Vs Ismaili 0-0
Sept. 19/2003: Ismaili (Msri) Vs Simba 2-1
KOMBE LA WASHINDI
MWAKA 1985
RAUNDI YA PILI
Simba SC Vs Al Ahly (Misri) 2-1 0-2
MWAKA 1996
RAUNDI YA PILISimba Vs Al Mokaoulun (Misri) 3-1 0-2 3-3 (Al Mokaoulun walifuzu kwa faida ya bao la ugenini)
MWAKA 2001
RAUNDI YA PILIIsmailia (Misri) Vs Simba SC 2-0, 0-1, 2-1
(Mechi ya marudiano ilichezwa mara mbili, baada ya mechi ya kwanza kuvunjika dakika ya 46, SImba ikiwa inaongoza mabao 2-0, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam(sasa Uhuru). Ismailia walilalamikia hali ya Uwanja kujaa maji kwamba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha siku hiyo, hivyo kugoma kucheza katika mazingira yale na mchezo ukasogezwa mbele kwa siku moja na ndipo wenyeji waliposhinda 1-0. Hivyo Simba kwa kufungwa 2-0 awali mjini Cairo, walijikuta wakitolewa kwa matokeo ya jumla ya kufungwa 2-1.
Mchezo wa kwanza ulitawaliwa na vurugu, Polisi walivamia uwanjani kuwatawanya wachezaji wa Ismailia kwa mabomu ya machozi, waliokuwa wakimzonga refa kwa madai mashabiki wa Simba walimpiga na chupa mchezaji mwenzao mmoja, Emad El-Nahhas.
KOMBE LA CAF/SHIRIKISHO:
MWAKA 1993ROBO FAINALI:
Simba Vs USM El Harrach (Algeria) 3-0 0-2 3-2
MWAKA 2010:
RAUNDI YA PILI:Aprili 25: Simba Vs Haras El Hodoud 2-1
Mei 8: Haras El Hodood Vs Simba SC 5 – 1
MWAKA 2012
Machi 25, 2012: Simba SC 2-0 ES SetifAprili 6, 2012; ES Setif Vs Simba SC .
No comments:
Post a Comment