TAARIFA ZILIZOPATIKANA HIVI PUNDE KAMATI YA LIGI KUU YA VODACOM IMEINYANG'ANYA POINTI TATU KLABU YA YANGA KWA KOSA LA KUMTUMIA BEKI NADIR HAROUB HUKU AKIWA HAJAMALIZA ADHABU YA KUTOCHEZA MICHEZO MITATU.
KAMATI HIYO IMEIPATIA POINTI TATU KLABU YA COASTAL UNION YA MKOANI TANGA.
TAARIFA ZAIDI ZITAENDELEA KUKUJIA KADRI ZITAKAVYOPATIKANA!
Naona hapa inaanza cinema mpya ktk soka la bongo,tuendelee kufanya subira tuone kamati zitakavyoonyeshana ubavu.
ReplyDeleteMaajabu hayatokuja kuisha duniani, kama habari hizo ni za kweli kosa si la TFF bali kuna watu hapo Yanga waachie ngazi na si ajabu wakawa wanatumika kuihujumu timu, mimi si shabiki wa Yanga ila hainiingi akilini benchi zima la ufundi pamoja na mchezaji washindwe kuona kosa hilo, nasubiri kuona kama habari hii ina ukweli basi kuna mengi ya kuzungumza.
ReplyDeleteMdau
Mike
iyo safi kabisa lazima waheshimu kanuni za mpira hao
ReplyDeleteMbona wanajiita wasami sasa walishindwa nn kusoma sheria za ligi kuu,mbona wana wachezaji wengi ina maana wanamtegemea canavaro,mchezaji asilaumiwe hata kidogo yeye alheshimu maagizo ya viongozi,weraweraaaaa lambalamba nafasi ya bure shirikisho hiyooo mungu akupe gunia la chawa.
ReplyDeleteKAMATI ILIKUTANA KUJADILI ISHU YA CANAVARO TUH...WALIKUTANA BAR AU GUEST? HAHAHAAHAH NAONA WAKO FASTA SANA....ILA WAMECHEMSHA TENA, HAPAKUWA NA JAMBO LINGINE LA KUZUNGUMZIA???? UTAIJUA TU YANGA NA NGUVU ZAKE...HAPOKWI MTU POINTS HATA KWA NINI
ReplyDeleteBado nashawishika sana kwamba kifo cha yanga na simba na kuibuka kwa timu za wamiliki serious ndio kutainua soka letu. hii ikiwa na maana influence ya simba,yanga ktk shirikisho na vyombo vyake nayo itakua haipo tena..soka liendeshwe kisasa
ReplyDeletegud
ReplyDeleteHii issue iko wazi kabisa ila bado itapoteza muda mwiiiingi kujadiliwa. Eti mtu anaanza kuhoji kikao hicho kilifanyika bar au guest? Facts are facts haijalishi zimejadiliwa wapi!!
ReplyDeleteDa azam niliwapenda sana lakini walivoanza tafuta uwakilishi kwa njia za mkato. Make watavuna wasicho kipanda. Washaurini azam wandae timu ya ushindi ili ilete tofauti kati ya yanga na simba tuliowazoea kuwa mabingwa wa hira na kuhonga marefa na kuhujumu timu pinzani mfano mzuri ni kajumulo,moro, mtabwa, afrika lyon. Azam pamoja na uwekezaji wote tsoshangaa kupitea sababu ya tabia wanayomezeshwa na simba
ReplyDeletemi naona hii ni sawa kabisa lazima tujifunze kuweka kumbukumbu,kwanza hicho ni kitendo cha aibu sana katika club kubwa kama hii inawezekanaje inakosa hata mtunzaji wa vitu kama hivyo!!
ReplyDelete