Search This Blog

Sunday, March 11, 2012

wachezaji wa Yanga wakimpiga mwamuzi!

2 comments:

  1. KWA MTAZAMO WANGU ILE ILIKUWA KADI NYEKUNDU SAHIHI KABISA....HATA SISI AMBAO TULIKUWA MBALI NA REFA HATUKUHITAJI KUSIKIA MATUSI ALIYOTUKANWA REFA NA NIYONZIMA BUT ILE KUMFUATA REFA NA JAZBA KAMA ZILE ILIKUWA NI LAZIMA APIGWE YELLOW KADI....SO TAYARI ALIIKUWA NA KADI..KWENYE SWALA LA KUMPIGA REFA HAPO NDIO TUTAONA UZALENDO WA VIONGOZI WA TFF KWA YANGA KWANI KWA KUTUMIA KANUNI ZA SOKA DUNIANI PALE WACHEZAJE KAMA WANNE WA YANGA INABIDI WAFUNGIWE MUDA USIOPUNGUA MECHI NNE NA FAINI KALI JUU YAO...YAANI FIKIRIA REFA ANAWAKIMBIA BADO WANAMFUKUZA, TUMEZOEA KUONA YALE KWENYE MECHI ZETU USWAZI SIO KWENYE LIGI KUBWA KAMA HII, TFF INABIDI WACHUKUE HATUA KALI WAACHANE NA KUONA YANGA NA SIMBA WANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE WAWEZAVYO...KWA KWELI KITENDO CHA YANGA KINAUDHI SANA, WAMEZOEA KUBEBWA WAO TUU...KAMA YULE ALIYERUSHA NGUMI NI WAKUMFUNGIA HATA MIEZI SITA KABISA...

    ReplyDelete
  2. Kaka hapo hakuna mzarendo na mwenye haiba ya michezo hata kidogo. Wanatakiwa kuvua jezi na kujisajiri kwenye nyanja nyingine kwani michezo bado iko mingi duniani. Hawa watu wa namna hii wanachafua sura na mwonekano wa michezo nchi, bora tujikite Ulaya kka kwani burudani ndiyo sehemu yetu.

    ReplyDelete