Search This Blog

Sunday, March 11, 2012

VURUGU ZA UWANJA WA TAIFA JANA ZILIFANYIKA MPAKA VYOONI

Hawa ni baadhi ya washabiki wakijisaidia mpaka kwenye masinki ya kunawia - Huu ni ustaarabu wa namna gani jamani?

5 comments:

  1. ziko wapi kamera za uwanja wa taifa??
    wako wapi wanaojifanya askari pale uwanjani??
    KUMBE wanakwenda uwanjani kuangalia MECHI badala ya Ulinzi??

    ReplyDelete
  2. dah sasa walinzi wanalipwa fedqa ya nini?
    huo ni ujinga wa kufanya uchafu kama huo.
    then na maji uwa hamna, arafu masinki design kama yameziba

    ReplyDelete
  3. hao wachezaj wa yanga waliomshambulia refa napendekeza wafungiwe maisha kucheza,kwan ukchezea yanga ndio kuwa juu ya sheria#lol,ingekuwa tm ingne leo ungeckia fain inatangazwa na wambura@shame on you local player of yanga

    ReplyDelete
  4. hao ndio wabongo kila kitu longo longo.hapo watu wanaangalia mapato na magumashi hamna cha kamera wa ulinzi,uzushi mtupu.mimi Yahya wa Dizm.

    ReplyDelete
  5. hapo watanzania tunajiona tuna utamaduni mzuri pale tunapoona wazungu wanatembea nusu uchi je kujisaidia kwenye sinki la kunawia na kutembea uchi kipi boro? yaani uwanjani hatuwezi hata ushabiki hatuwezi pia ni aibu

    ReplyDelete