Kufuatia tukio lilomtokea Fabrice Muamba anayepigania maisha yake sasa katika chumba wagonjwa mahututi katika hosptali ya London Chest, klabu ya Tottenham imeamua kikosi kizima cha klabu hiyo watapimwa vipimo maalaum vya magonjwa ya moyo.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya wachezaji wa Spurs kuomba kufanyika kwa vipimo hivyo baada ya kuona tukio lilomtokea mchezaji wa Bolton Fabrice Muamba aliyeanguka kutokana na kupatwa mshtuko wa moyo.
No comments:
Post a Comment