Search This Blog

Tuesday, March 13, 2012

SAKATA YA YANGA HILI HAPA !

27 comments:

  1. daaaaa its a shame to our country

    ReplyDelete
  2. t's shame 2de referee n' TFF as-well..

    ReplyDelete
  3. hao marefa wa bongo ndio wanaouaribu mpira wetu,kwann akumpa kadi mwasika ambae alimpiga ngumi aliisha kumuonya 2 hii ni aibu kubwa kwa mpira wetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe acha kukomenti kitoto...Refa alikua anashambuliwa na watu wengi.Haikua rahisi kwake kumjua aliempiga ngumi kwa wakati ule.Tuachane na tabia mgando za kuwadharau na kuwatupia lawama marefa wetu pale wachezaji wetu wanapofanya mambo YAKIJINGA uwanjani kwasababu ya mibangi yao.Hatutasonga mbele tukiendelea kuwatetea wachezaji wa namna hii..Kiukweli mie ni YANGA lakini MWASIKA hastahili kua katika kikosi chetu.TFF Wangemfungia maisha kabisa kwa ujinga ule.Ametugharimu sana yanga..HATIBU KYOBYA(DSM)

      Delete
    2. Mchangiaji Hatibu uko sahihi kabisa.Hata mwizi anaposhambuliwa na watu wengi hawezi kujua ni nani kampiga tofali la kichwa...Yanga mmetudhalilisha sana kwa ushenzi ule.Na mna bahati mechi ilipoisha mlifungiwa vyumbani.Tulikua tunawasubiri nje mchezee kichapo cha mawe washenzi nyie.Baada ya kuvaana na AZAM uwanjani mnarushiana ngumi na refa.Hatimae mmeluzi tempa tukaongezwa mabao mengine mawili...

      Mwasika yanga hatutaki wavuta bange..Siku iyo ungetokea nje ya uwanja ungepata ngumi mia mbili zetu mashabiki wenye uchungu na yanga.

      Sasa angalia mmetugharimu mechi ya leo na African lyon.

      Delete
    3. NADHANI KUNA HAJA YA KUPITIA UPYA SHERIA ZA KISOKA KWANI KITENDO CHA KUMPIGA NGUMI MTU MWASIKA ANAWEZA KUSHTAKIWA HATA KTK MAHAKAMA ZA KIRAIA.KWANI KITENDO KILE HAKIKUA SEHEMU YA MCHEZO.NI KUJERUHI KWA KUKUSUDIA..By street advocate.

      Delete
  4. hawa wachezaji watakuwa walivuta bangi ndipo wakaingia uwanjani na watu kama hawa sidhani kama wanaona mbali maana laiti wangejua mpira siku hizi ni dili wasingethubutu kufanya ujinga kama huo, siamini kama mchezaji mkubwa kwamfano Messi akaweza kufanya ujinga huu, kama wameshindwa kucheza mpira warudi kwao wakalime wawaache wanaojua kucheza mpira

    ReplyDelete
  5. Huu ni utovu wa nidhamu,mpira hauchezwi namna hii kabisa

    ReplyDelete
  6. Hivi we Shaffii mbona umelishupalia san hili suala hata jins unavyokua unalidiscus unakuwa umekasika kias kwamb ulikua unasubili itokee fujo kama hiyo ili upate pa kuzungumzia nimekusikiliza toka jumapili kweny sports roundup ulikua unapanic kiasi kwamb ukasababisha Ally Mayai kuloss temper jarib kutend haki katika uchambuz wako utajipunguzia washabik wanaokuamin

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shafii tunakujua chama lako tangu zamani,thats why young african hatuna presha na wewe,kwenye mechi ya zamalekh ulifanya marketing sio ya kusapoti tushinde ila ulitaka kuona greener tunavyofungwa,..VIVA YOUNG AFRICAN

      Delete
    2. Tatizo la mpira wa Tanzania umejikita sana katika ushabiki. kila mtu shabiki. mtazamaji, refa, mwandishi wa habari mtangazaji, kiongozi wa TFF na kila anayehusika na soka anaangalia mambo kiushabik. matokeo yake hakuna anayeweza kuliangalia jambo katika haki yake. ushabiki tuuuu!!!!. hautatufikisha popote.hakuna anayetaka ukweli kila mtu anapindisha ukweli akiangalia maslahi yake. Hili jambo la Yanga linazungumzwa kishabiki tu na kila mtu, hakuna hata maamuzi ya haki yatakayotoka. ingekuwa yale yamefanywa na wachezaji wa mtibwa african lyon au timu nyingine lingekuwa limekwisha na hakuna leo ambaye angekuwa analizungumza sababu tu zile timu hazina wenyewe. huyu ndio mchawi wa soka la Taznania.

      Delete
  7. KAKA SHAFFIH HABARI USINIBANIE BWANA SOMA MESSAGE YANGU KWENYE SPORT EXTRA YA CLOUDS FM, NATAKA WANANDONDI WAPYA WAISIKIE,

    JAMANI YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, CHEREKO CHEREKO NA VIFIJO KWA WANAJANGWANI KUSHINDWA KUCHEZA MPIRA NA KUGEUZA UWANJA WA MPIRA NI UWANJA WA NDONDI KUMBE KIKOSI CHETU CHA TAIFA CHA NGUMI KINA AKIBA KIBAO, SHAFFF KAKA NIMEIPENDA SANA HII MUVI, FRANCIS CHEKA HATA KAMA UKISTAAFU WAPO WADOGO ZAKO WENGI TU KUMBE HATUNA SHIDA, ILA KWA NGUMI UKAE HIZO KWEZO MANPAQIAO MWASIKA ATAMMUDU KWELI? YANGA SAFFFFFIIIIIIIIIIIII CHAFUUUUUUUUUUUUUUUU, NILIJUA NI MAFURIKO TU KUMBE MAFURIKO HADI UWANJANI MANJI OYEEEEEEEEEEE, NDEREMO NA VIFIJO KWA UONGOZI WA YANGA.

    KAKA MIMI NI YULE YULE MDADA MPENDA MICHEZO A.K.A mtoto wa msimbazi. lucy izengo

    ReplyDelete
  8. HONGERA SANA NSAJIGWA KWA KUONESHA UTU UZIMA WAKO.HIVYO NDIVYO KAPTENI WA TIMU ANAVYOTAKIWA KUA.UNASTAHILI KABISA KUA KTK TIMU YA TAIFA KWA MUDA MREFU KAMA ULIVYOKAA SASA.MWASIKA BANGE ZIMEKUPONZA.BORA UJE HUKU TMK UPIGE NDONDO MCHANGANI. ASLAM JUMA(TMK)

    ReplyDelete
  9. Maskini Kocha Papic.Una kazi ya ziada.

    1.Kuwafundisha Mpira
    2.Kuwafundisha madhara ya utovu wa nidhamu.
    3.Kuwazuia kutovuta BANGE wakati wa kwenda ktk mechi.
    4.Kutoa maji ktk vyumba vyao wakati wa mafuriko(Jangwani).
    5.
    6.
    7.

    Jamani nisaidieni kumalizia kazi zingine.

    By Jason Lirembe.(SIMBA MY BLOOD GROUP.From Masomoni HAVANA-CUBA)

    ReplyDelete
  10. lazima chanzo cha tatizo hili kitafutwe shaffii hua unaongea kinazi bila kupata utafiti nakumbuka mechi ya simba na oljoro ulikua ukifafanua namna ambavyo boban hakufanyiwa haki ila tatizo la mafisango kumuonesha kidole cha kat ref hukuongea chochote, shaffii lazima ufahamu big mech zinavyotakiwa kuchezeshwa ili zilete burudan, kwa mchezaji ambaye anabeba mechi kubwa refer inabidi awe na busara huwezi kutoa kadi za njano mbili wakati hujamuonya mchezaji hata mara moja huku ukijua mchezaji huyo ndio hasa ataifanya mechi ibadili matokeo, shafii ukipunguza unazi utakua mhariri mzuri sana ila uwe unaangalia pande zote mbili.

    ReplyDelete
  11. Hakika kuna haja ya kwenda shule hasa kwa wachambuzi wa mpira..! Shaffii...Shaffii.... nilikuwa nakuchukulia kama mchambuzi bora lakini katika hili udhaifu wako umeonekana wazi...! Kawaida ya wenzetu wazungu ata waafrica wa nchi ya Africa kusini wanawezea. Fanya uchambuzi wa kina kabla hajakaa kwenye kiti cha studio mbele ya kamera ni aibu sana kuongea bila kujitadhimini. katika uchambuzi wako wa jumatatu clouds Tv ulionyesha udhaifu mkubwa sana katika uchambuzi wa mpira hakika na unahitaji kwenda shule kidogo tu. Uchambuzi unatakiwa usieengemee upande wowote ule...Na mpa Pongezi kubwa sana Jefff anajitaidi kuonyesha mtazamo wke usiokuwa wa kishabiki maana jamii ya kimichezo inawaangalia nyie kama sululisho la matatizo na si kuponda bali toa njia mbdala. kumbuka unakaa studio usijisahau kunawatu wengi tunawataza uwezo wenu wakuchambua soka kijinga kwa unakosoa sana hasa kiasi kwamba unadhani unaweza ukapewa ukocha ukapata mafanikio la asha...!!! Shaffii... Shaffiii jielekebishe la sivyo utadhalauliwa tena hadio watoto wadogo.... uchambuzi wako haujaenda shule... kuna siku unachambua vizuri kuna siku unavurunda... Usifanane na marefa wa bongo bwana...! Muone mwenzako angetile alitumia kalamu sana kulaumu mfumu wa tanzania na TFF sasa angalia nini amekifanya leo hii pale TFF hakuna kitu. Mimi niko hapa marekani lakini tunaona jinsi gani wa chambuziwa soka wanavyo fanya.JITAIDI KIjana
    Ni Mimi Deus kajuna.

    ReplyDelete
  12. nchi zilizoendelea zote nazungumzia, england , france , spain , germany, huwezi kumpiga refa wala kumchase refa, dat meanz ukimpiga refa au kumrushia ngumi ni criminal record na unafungiwa kucheza mpira for life, ikesha police wanachukua sheria zao uakwenda jela for 2yrz, kwa hiyo hawa waenda mbio mm siiti wachezaji naita waenda mbio waliompiga refa na kumchase [ kumfukuza] wanatakiwa wasikanyage uwanjani tena yaani wafungiwe for life, ikiwa kuna sheria zinafuatwa, na ndivyo inavyotakiwa iwe.

    ReplyDelete
  13. mm nacheza sunday league kuna mzungu alimsukuma refa hakumpiga kamsukuma tu wala hakuanguka, basi kafungiwa 5 yrz asicheze mpira sikwambii unampiga refa, hapo hapana sheria kumpiga refa ni kufungiwa for life peke yake, hiii fifa wakiiyona watacheka.

    ReplyDelete
  14. Hi ni hatari sana, watanzania kumbukeni ile gem ilikuwa na tension kubwa. Na yanga kuna vitu walushaviskia mwanzo kuhusu mwamuzi na bada hapo mwamuzu alijionesha wazi kwamba kaingia na matokeo, ndo mana alishindwa kuvunja pambano hata bada sheria kuvunjwa kwa kuofia gem kuja chezwa upya. Ni aibu kwenye soka la tz, wamuzi na hata wachezaji, kwa ushabiki wa yanga na simba bro hatutafika. Nimekuskiliza majuzuzi, juzi ukajaribu kungaunga sheria jana bada ya mamuzi ndo ukatoa sheria za kumlaumu refa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. lakini pia tunachojua hilo wanalotuhumu Yanga nao walitaka kulifanya ila walishindwa hivyo walipanga gem hiyo iharibike. Tabia hii Yanga wanayo. Mara ngapi Yanga wametishia kuvunjika kwa amani tena viongozi na hakuna Yoyote anayekemea wanasikiliza tu. Leo wamefanya kweli sasa mkakati ni kupiga kelele nyingi na usishangae hili likawa na shinikizo hata kutoka kwenye siasa.

      Delete
  15. daaaaaaaaah aibu aibu , je kweli tutafika ,na tunaelekea wapi ?

    ReplyDelete
  16. SHAFIH HUNA LIOLOTE YAN WE HUJUI CHOCHOTE KATIKA SOKA UNAKARIRI TU KUCHEZA CAHNDIMU NDO UANJIONA MCHAMBUUUZ nani kama Dr licky abdalah tz hakuna wa na mbwiga hamna tofauti

    ReplyDelete
  17. huo ni uhuni michezoni mchezaji wa daraja la kina mwasika,canavaro sio wa kufanya vitendo vya kihuni kama ivyo.nasikitishwa na tff kutengua adhabu zilizotolewa na kamati ya ligi...kuna kina dalili ya undumilakuwili hapo hawa jamaa ni wakosaji wametia doa soka letu wacha waadhibiwe mbona mabangi boban hakiadhibiwa hakuna anayetengua.....sheria ifuate mkondo wake

    ReplyDelete
  18. HEI MR SHAFII...TUNAVUTIWA SANA NA BLOG YAKO ILA TUNAKUOMBA SANA KA ITAWEZEKANA BASI UKI UPLOAD FULL GAMES ZA BONGO...ITAKUWA VIZURI SANA MAKE TUNAPENDA KUONA SANA VIJANA WETU WANAVYO CHEZA VIWANJANI


    Lucas Rwabutairuka

    ReplyDelete
  19. Jambo hili sasa limeanza tena. Poit tatu zimetolewa. Kwa nini Tibaigana usikamilishe kazi kwa kuzuia kuturudishia pointi zetu? Sie Yanga bwana hamtuwezi

    ReplyDelete
  20. Soka la bongo lisahau kuendelea kama mambo yenyewe ndo haya ya kupiga waamuzi. tutabaki kuwa kichwa cha mwenda wazimu

    ReplyDelete