Azam Fc yaanza mchakato wa kutengeneza kadi za wananachama !
Chagua moja yenye BLUE au yenye NYEKENDU kisha toa maoni yako.... tupo kwenye mchakato wa kuleta kadi za uanachama.... Jisikie furaha kuwa mwana Azam FC, Timu bora bidhaa bora
Ningechagua bluu, kwasababu ni rangi halisi inayoitambulisha Azam, inaepusha mkanganyiko na muingiliano na timu zinazotumia rangi nyekundu, inapendeza na kuvutia na ni ya kipekee.
Ningechagua bluu, kwasababu ni rangi halisi inayoitambulisha Azam, inaepusha mkanganyiko na muingiliano na timu zinazotumia rangi nyekundu, inapendeza na kuvutia na ni ya kipekee.
ReplyDeleteBebeto.